GET /api/v0.1/hansard/entries/980787/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 980787,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980787/?format=api",
"text_counter": 40,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Pareno",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13180,
"legal_name": "Judith Ramaita Pareno",
"slug": "judith-ramaita-pareno"
},
"content": "kutoka Kisii, nawakaribisha. Ningependa kusema kwamba kuna taarifa tuliyopata wakati mwingine kwamba kuna mjadala Katika County Assembly ya Kisii kwamba akina mama ambao wameteuliwa walikuwa wanadhulumiwa; kwamba hawawezi kwenda kwa wodi kwa sababu wameteuliwa na hawana haki kwa sababu hao wameteuliwa. Nmefurahi sana kuona ndugu zetu kutoka Kisii ambao wanatoka Katika"
}