GET /api/v0.1/hansard/entries/980868/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 980868,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980868/?format=api",
    "text_counter": 121,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, nimemsikia mwenzangu Seneta wa Kaunti ya Makueni akisema alimwona Mchina akiwa amejifunga kinywa. Akasema ilionekana kana kwamba ana ugonjwa huu wa Corona . Je, inamaanisha kwamba ukijifunga kinywa ama ukitoka China una ugonjwa wa Corona ?"
}