GET /api/v0.1/hansard/entries/983850/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 983850,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/983850/?format=api",
    "text_counter": 215,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Sijui kama hilo ni Jambo la nidhamu ama ni maelezo. Sisi sote ni binadamu na vile vile tunaweza kupatikana na Virusi vya Korona au COVID-19. Hakuna aliye mjasiri mbele ya ugonjwa. Kwa hivyo, ni muhimu pia sisi kuenda mashinani kukutana na wananchi tunaowakilisha katika Seneti, ili waweze kutueleza masaibu wanayoyapata."
}