GET /api/v0.1/hansard/entries/983853/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 983853,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/983853/?format=api",
"text_counter": 218,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Jambo la kwanza ambalo Serikali inafaa kuzingatia ni kwamba vifaa hivyo vinapatikana haraka iwezekanavyo, ili wanaowatibu wagonjwa wa Virusi vya Korona wanajikinga ili wasiambukizwe virusi hivyo vya Korona. Je, Kenya Medical Research Institute (KEMRI) inafanya nini? Kwa mfano,"
}