GET /api/v0.1/hansard/entries/998738/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 998738,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/998738/?format=api",
    "text_counter": 87,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Kutoka kwa Waziri mpaka madaktari wanachukulia kuwa yule anayeugua COVID-19 kama mtu anayeugua ugonjwa ambao haufai kuwa katika ulimwengu wetu. Watu hao wanabaguliwa na hawaruhusiwi kufanya jambo lolote kwa sababu kuna hatari ya kuambukiza watu wengine."
}