Parties & Coalitions

  • Not a member of any parties or coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 392.

  • 3 Apr 2025 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii nichangie hii kauli iliyoletwa na Sen. Mwaruma. Kauli hii ni muhimu sana kwa sababu manaibu wa machifu na machifu ni watu muhimu sana kwa kila eneo. Utapata ya kwamba hata Serikali ikitaka kujua vile kijiji kinaendelea, wanapitia kwa manaibu wa machifu na machifu. view
  • 3 Apr 2025 in Senate: Naunga mkono kauli hii. Hawa machifu wanapaswa kupewa ulinzi kwa sababu wanafichua njama za watu waovu wanaoweza kuwarudia na kuwaumiza. Hili lina hatarisha maisha yao wanapofichua njama za wahalifu kwenye vijiji. view
  • 3 Apr 2025 in Senate: Pia, ningeomba Sen. Mwaruma na Kamati itakayokabidhiwa Taarifa hii waweze kuangalia hata wazee wa nyumba kumi ambao pia hufanya kazi nyingi sana. Machifu na manaibu wao hawawezi kufanya kazi vizuri bila wazee wa vijiji na viongozi wa nyumba kumi. Wao ndio hufichua kule pombe haramu huuzwa na wahalifu kijijini. Hata mtu aliye mgeni akiingia kwa kijiji, watu wa kwanza kumtambua huwa ni wazee wa kijiji, chifu na naibu wao. view
  • 3 Apr 2025 in Senate: Ni vizuiri pia wawe wanapandishwa vyeo kulingana na muda uliowekwa. Pia, Kamati inapoenda kuangalia Kauli hili, wahakikishe pia hawa wazee wanalipwa. Wazee hawa huamshwa usiku wa manane kwenda mahali kuna mgonjwa au uhalifu bila kuogopa ilhali hawapewi chochote na Serikali. Kwa hivyo, ni vizuri hata hao wazee wa nyumba kumi wawe wanalipwa ama wapewe pesa ya usafiri ili kwenda kule wanakohitajika. view
  • 3 Apr 2025 in Senate: Utapata hata polisi kufanya kazi nzuri katika stesheni zao inabidi watumie machifu na manaibu wao na wazee wa nyumba kumi ili wapate ripoti za wale wahalifu mahali waliko. view
  • 3 Apr 2025 in Senate: Asante sana, Bw. Spika. Ninaunga mkono Taarifa hii. view
  • 2 Apr 2025 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir, for giving me this opportunity. Mine is just to ask the Cabinet Secretary about the Government plans to settle the Kenyan refugees who are already here in Kenya. There are some refugees who are living in Kenya and are Kenyans and others who are squatters. Squatters are in many places in Kenya and these people have nowhere to go. For example, there are people in Machakos County who are being called squatters in Katelembu and they are being told to move out. How are these people going to be settled and be kept in Kenya? view
  • 27 Mar 2025 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir, for giving me this opportunity to, first of all, congratulate the Senate Standing Committee on Finance and Budget. I would like to echo the words of those who have gone before me. That this Bill is overdue because counties are suffering. I will support the Bill even as Machakos County is losing some money. For instance, on the First Schedule, Machakos County last year had Kshs445,350,996 and this year, they have been allocated Kshs247,159,451. We are losing Kshs48,967,916. Mr. Deputy Speaker, Sir, this is because CHPs were not there before. The CHPs have been ... view
  • 27 Mar 2025 in Senate: partners' accounts. However, we continue losing because we are paying on interest when the counties are not spending this money on development projects. So, I would like us to pass it as it is as we continue fighting for its increment. Mr. Deputy Speaker, Sir, we should also warn the National Assembly not to interfere so much on the allocations of the county governments because we are always at grassroots level and we know what happens there. For instance, roads that belong to County Government of Machakos are in pathetic situations. That is why the governors wants to this money ... view
  • 20 Mar 2025 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir, for this opportunity. I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a Statement from the Standing Committee of Land, Environment and Natural Resources regarding the operations of Katelembo Athiani Muputi Farming and Ranching Cooperative Society in Machakos County. In the Statement, the Committee should- (1) Table the original survey map of the area measuring 11,967 hectares occupied by the Katelembo Athiani Muputi Farming and Ranching Cooperative Society in Machakos County, including all the areas designated for public utility. (2) Provide the original ballot allotment lists of the land, disclosing details of all allotees of ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)