Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 23.

  • 24 Apr 2024 in Senate: Bw. Mwenyekiti, ningetaka kumwambia Seneta mwenzangu kuwa wakati tulikuwa tunaibuni Hoja hii wakati huu wa demokrasia halisi, tuliona ni vizuri mtu awe akiuza vitu vyake pahali anaona ni pazuri naye. Unaweza mwambia apeleke miwaa zake upande huu, lakini yeye anapendelea upande ule mwingine kwa sababu ya bei ya nafuu. Kwa hivyo, hatukuona ikiwa vibaya na tuliona na vizuri kuwe namna hiyo. view

  • 15 Nov 2023 in Senate: Bw. Spika wa Muda, swali langu kwa Cabinet Secretary ni kuwa katika Kaunti ya Embu kuna game reserve inaitwa Mwea Game Reserve ambayo iko na ndovu karibu 250. Wakati wa kiangazi, pale kuna mto unaitwa Thiba. Ndovu walivuka wakaenda Mavuria Ward na wengine wakaenda wadi za Mwea na Makima . Wakati wananchi walipiga kelele, hakuna hatua yoyote ilichukuliwa kwa sababu wale game rangers walisema hakuna mahali wale ndovu watapelekwa mpaka wangoje waamrishwe. Ilichukuwa karibu miezi miwili ama mitatu na wakasumbua watu sana. Bw.Waziri, naomba kujua ni hatua gani utachukua ili mvua ikipungua wasiweze kuenda kusumbua watu tena. Baadaye, walichukuliwa na ... view

  • 17 Oct 2023 in Senate: Madam Temporary Speaker, I rise, pursuant to Standing Order No.53(1), to seek a Statement from the Standing Committee on Agriculture, Livestock and Fisheries; on the unavailability of certified seeds by authorised seed companies and their distributors leading to an artificial shortage in the market and the attendant increase in prices of the seeds to farmers. In the Statement, the Committee should- (1) Explain the reasons for the current shortage in supply of certified seeds of common farm crops such as maize and beans, just at the onset of the October planting season. The electronic version of the Senate Hansard Report ... view
  • 17 Oct 2023 in Senate: (2) State the major seed companies in Kenya and their stock levels of common farm crop seeds for the last six months, providing market price movement of these certified seeds for the last six months. (3) Indicate Government efforts to control and fight cartel-like activities in the certified seeds supply chain in the country, to protect farmers from exploitation. view
  • 17 Oct 2023 in Senate: Madam Temporary Speaker, I rise, pursuant to Standing Order No.53(1), to seek a Statement from the Senate Standing Committee on Agriculture, Livestock and Fisheries regarding stalled irrigation projects that are funded by the National Government in Embu County. In the Statement, the Committee should – (1) Explain the reason for stalling of the New Kithimu Irrigation Water Project. (2) Elaborate how the funds that were allocated for the Project, were utilised vis- a-vis the Bill of Quantities (BQs) for the Project. (3) State any plans the Ministry of Water, Sanitation and Irrigation has to resume works on the Project and ... view
  • 5 Oct 2023 in Senate: Napinga, Sen. Cherarkey. view
  • 5 Oct 2023 in Senate: ( Sen. Mundigi’s microphone was switched off) view
  • 26 Sep 2023 in National Assembly: Asante, Bw. Spika. Naunga mkono kupitishwa kwa huu Mswada kwa sababu hii pesa ni zile zinalipwa na akina mama na wazee na watoto wale hawana chochote. Inalipwa katika hospitali zetu za kaunti na majimbo zingine zile ndogo kule mashinani. Hizi pesa saa zingine zinalipwa kila mwezi halafu inaenda kwa Exchequer kwa Serikali Kuu. Naunga mkono hizi pesa ziwe zikisimamiwa na usimamizi wa hospitali zetu mashinani. Kama ni kwa mwezi mmoja, hizo pesa ziwe zikikaa kule ndio ziweze kuwasaidia watu wetu kwa sababu zikiwa zimeifadhiwa na Serikali kuu haziwezi kutolewa na kutumika kwa haraka. Pesa hizi zinaweza kuhifadhiwa na hospital kwa ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus