Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 21 to 24 of 24.

  • 26 Apr 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika. CS, tunaomba mashinani kuwe na wazee wanaochaguliwa kuangalia na kupitisha mambo ya mashamba. Kule vijijini, mambo haya yamekuwa na siasa za Members of Parliament (MPs). Bw. CS, ninakuomba, kama kuna uwezekano, kila sub county, kwa sababu ya vile vita viko kule, uwe ukiangalia--- view
  • 26 Apr 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika. Ninaomba Kamati ikichaguliwa, tuwe pia tukihusishwa kwa sababu baadaye maswali tutaijibu hayo. Kwa sababu imekuwa ni siasa wakichagua, MP na County Commissioner (DCC). Unakumbuka yale mambo yalikuwa Mbeere South. Wakati niligundua ule ukora walikuwa wanataka kufanya, ilibidi tukuhusishe na ukapeleka jina. view
  • 26 Apr 2023 in Senate: Swali langu, Bw. Waziri tunakuomba utusaidie. view
  • 26 Apr 2023 in Senate: Ni swali. Tunaomba tuhusishwe kwa ile Kamati kama Maseneta ili wawe wakitufanyia upelelezi wa vile kunaenda. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus