Anuar Loitiptip

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 48.

  • 11 May 2021 in Senate: Mr. Speaker, Sir, on behalf of the great people of Lamu, we are not getting any additional constituency and our allocation is being deducted. For the future and posterity of this country, I vote no. view
  • 13 Apr 2021 in Senate: Shukran Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii niweze kuchangia Mswada wa ugavi wa rasilimali 2021/2022.Kwanza, ningependa kusema kama Seneta wa Kaunti ya Lamu kuwa naunga mkono Ripoti hii. Pili, natoa shukrani zangu za dhati kwa Kamati ya Fedha na Bajeti inayoongozwa na Sen. Kibiru kwa kuja na Ripoti ambayo ni kabambe na kuzingatia kila kaunti isiweze kupoteza rasilimali yoyote. view
  • 13 Apr 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 13 Apr 2021 in Senate: Kwa sababu ya muda, nitazungumza maswala mawili tu. Swala la kwanza ni kuhusu ufisadi. Zote tunajua kuwa kazi ya Bunge la Seneti ni kusimamia rasilimali za kaunti na kuweza kuhakikisha kuwa rasilimali zimefika katika Kaunti. Lakini, bado kuna ufisadi na viongozi wetu wamedhibiti ya kwamba Kshs2 bilioni zinapotea katika hii nchi kila siku na hiyo ni hali ya kusikitisha. Ningependa hii iwe changamoto kwa wale viongozi ambao wako mashinani, wakiongozwa na magavana. Hao viongozi wanafaa kujua ya kwamba rasilimali ambayo tumependekeza iwafikie mashinani ni pesa za wananchi, kwa hivyo wazitumie vizuri. view
  • 13 Apr 2021 in Senate: Jambo la pili ambalo ningependa kuzungumzia ni kuchelewa kwa ugavi wa rasilimali. Katika kaunti ya Lamu, kuna hospitali ambayo imekuwa ikijengwa maeneo ya Mpeketoni. Kwa miezi sita ambayo imepita, hakuna kitu ambacho kimeendelea hapo. Hiyo rasilimali imesimama. Najua kwamba Maseneta wengine wataniunga mkono kwa sababu kuchelewa kwa rasilimali ni donda sugu katika kaunti zetu. view
  • 13 Apr 2021 in Senate: Kaunti ya Lamu imeongezewa Kshs500 millioni kutoka Kshs2.5 billioni hadi Kshs3.1 billioni. Asanteni sana. view
  • 4 Mar 2021 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir, for giving me this opportunity. The Petition to the Senate is by members of the White House Progressive Community Based Organization and residents of Mavuno Sub-location in Lamu County concerning illegal encroachment of land by Witu Livestock Cooperative Society. Mr. Speaker, Sir, the salient issues raised in the said Petition are: (1) THAT, the White House Progressive is a registered community based organization that represents farmers and squatters living and working in various portions of land covering the villages of Pangani, Nyatha, Kaisari, Mavuno, Poromoko and Widho in Lamu County. (2) THAT, the farmers and ... view
  • 4 Mar 2021 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir, for giving me this opportunity. I rise pursuant to Standing Order No. (48) (1) to seek a Statement from the Standing Committee on Agriculture, Livestock and Fisheries regarding the Climate Smart Agriculture Project in Lamu County. In the Statement, the Committee should- (1) state how much the World Bank has released to the County Government of Lamu towards the climate smart agriculture project in the county; (2) provide a list of approved programmes and evidence of public participation on the projects agreed upon; The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. ... view
  • 4 Mar 2021 in Senate: (3) indicate the progress of implementation of the identified projects and cost incurred so far; (4) explain the mode of identification of beneficiaries, service providers and project managers; and lastly, (5) spell out measures put in place to ensure funds allocated to the projects are not embezzled by corrupt persons. view
  • 5 Nov 2020 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir, for giving me this opportunity. I rise pursuant to Standing Order No. 48(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Roads and Transportation concerning the lack of exploitation of maritime job opportunities by the youth residing in the Coastal region of the country. In the Statement, the Committee should- (1) Provide the current employment statistics of the youth in the maritime sector and their skill set. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus