Asha Hussein Mohamed

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 11 to 13 of 13.

  • 18 Apr 2018 in National Assembly: Naunga mkono Hoja hii. Nina imani kwamba Serikali itatilia maanani jambo hili kwasababu kabla hatujaingia katika mfumo wa sasa wakidigitali, huduma hizi zote zilikuwa zinapatikana. view
  • 18 Apr 2018 in National Assembly: Ahsante sana. view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Naunga mkono Hoja ya kiongozi mwenzangu, Mbunge wa Nyali, Mohamed Ali, kama mama kiongozi wa Mombasa Kaunti. Hospitali kuu ya Pwani ambayo iko Mombasa Kaunti inahudumia mkoa wa Pwani na kutoa huduma ya afya. Kwa hivyo, Hoja hii ya ndugu yangu Mohamed in muhimu ili tuweze kujenga hospitali ya rufaa na kuhakisha kwamba itapatiwa kipaumbele ili pia iwe na chuo kikuu. Hivi juzi nimerudi kutoka Ujerumani ambako nilipata matibabu mazuri sana katika Chuo Kikuu cha Ujerumani. Kwa hivyo, tukiweza kupatia hospitali zetu fedha na kuziinua katika kiwango kinachofaa ili wananchi wapate huduma, itakuwa ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus