Cherarkey K Samson

Parties & Coalitions

  • Not a member of any parties or coalitions

All parliamentary appearances

Entries 3231 to 3240 of 7129.

  • 8 Mar 2023 in Senate: Bw. Spika wa Muda, ninakubaliana na Seneta wa ndume kutoka Kaunti ya Kakamega, kwamba maisha yanaanza wakati mbegu ya mwanamke na mwanaume zinapokutana. Kwa heshima kubwa, ninaomba HANSARD irekebishe matamshi hayo. view
  • 8 Mar 2023 in Senate: Bw. Spika wa Muda, utaniruhusu dakika tatu kwa sababu niko na mambo mawili. Kwanza, ninataka kumshukuru, Sen. Faki, wa Kaunti ya Mombasa view
  • 8 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 8 Mar 2023 in Senate: kwa kuleta Taarifa muhimu. Nilishangaa nilipoona kwenye vyombo ya habari kampuni ya umeme imezima umeme kwa sababu ya mambo kadha wa kadha. Umeme ni muhimu sana. Ningependa Bunge la Seneti au Kamati husika ihakikishe imetoa makataa kwa kampuni ya umeme. Ikiwa kunaye aliaga dunia kwa sababu ya ukosefu wa umeme katika Hospitali Kuu ya Mombasa mhusika anafaa kuchukuliwa hatua ya kisheria. Mambo kama haya yanaharibu uchumi. Hii ni economicand health sabotage. Hili ni swala la haki za kibinadamu. Kuna watoto waliotegemea umeme huo na pia madawa yalikuwa yanategemea jokofu ili yatumike kwa muda fulani. Kwa hivyo, hii ni hasara kubwa. ... view
  • 8 Mar 2023 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir. I do not want to risk because the Senator for Bungoma County is good in Kiswahili unlike his predecessor, the current Speaker of the National Assembly, who was good in English. view
  • 8 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 8 Mar 2023 in Senate: On behalf of the great people of Nandi County, I take this opportunity to welcome the members of the County Assembly of Bungoma. I know they are in the Senate to learn the parliamentary best practices. I extend a warm welcome to them and state that all the Committees under your guidance and through your office, will facilitate and ensure they are given the necessary support to ensure that when they report back to their work stations, they will able to discharge their duties with professionalism, ensure it is mwananchi centered and be proud of themselves. I assure them that ... view
  • 8 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 8 Mar 2023 in Senate: I want to thank the people of Bungoma because as I was sleeping in Bungoma Police Station, they were gracious enough. They brought me a lot of food, they visited me. So, I will always be grateful to them. I do not know the reason why I was put in a police cell up to date. However, what I appreciate is that they were very hospitable and they visited me. At that time, the United Democratic Party (UDA) had a candidate for Ford Kenya. We did not know that Ford Kenya would come and join Kenya Kwanza and form the ... view
  • 7 Mar 2023 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus