12 Mar 2019 in Senate:
where all animals are equal but sometimes, there are animals which are more equal than others. However, I agree with Sen. (Eng.) Maina that we should be referred to with the names that are known. If we use that sort name like calling Sen. (Eng.) Maina, engineer tycoon, some people can be scared.
view
12 Mar 2019 in Senate:
We should just refer to him as Sen. (Eng.) Maina without adding the word ‘tycoon’ because it will scare some of us who have not reached there. I agree that the excitement of the Senators is because they are using other yard sticks to measure their abilities.
view
12 Mar 2019 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika. Sitaki jambo hili lipite kabla sijaongeza sauti yangu. Ninafikiri shida kubwa ambazo kaunti zetu ziko nazo ni kwa sababu pesa zinatolewa na serikali za kaunti kupitia Mawaziri wao wa fedha. Katika Kamati yetu, tumejaribu kushughulilkia hayo maswala kuhakikisha bunge za kaunti The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
12 Mar 2019 in Senate:
zipate uwezo wa kupata pesa zao katika akaunti zao kutoka Serikali kuu ili waweze kuendesha shughuli zao bila vitisho kutoka kwa magavana.
view
12 Mar 2019 in Senate:
Katika swala hili, ninaunga mkono yule anayeongoza Kaunti ya Mombasa aitwe hapa katika Bunge la Seneti ndio aweze---.
view
12 Mar 2019 in Senate:
Bw. Naibu Spika, ninamshukuru Sen. Wetangula. Ninafikiri Kiswahili kinachanganyisha wakati fulani. Asante kwa kuongeza hayo maoni. Ninaunga mkono Kamati husika ---.
view
12 Mar 2019 in Senate:
Bw. Naibu Spika, sijasema hivyo. Ninafikiri nilikuwa nasema yale ambayo---.
view
12 Mar 2019 in Senate:
Bw. Naibu Wa Spika, sio mimi. Nimeongea vizuri. Ninafikiri tu ni---.
view
12 Mar 2019 in Senate:
Bw. Naibu Wa Spika, unajua watu wamezoea kuelewa kupitia Kiingereza. Huwa changamoto kwa muda fulani. Hata hivyo, ninaunga mkono kwamba Kamati husika hata imuite Gavana wa Kaunti ya Mombasa ile aangazie haya maswala mazito kuhusiana na bunge la Kaunti ya Mombasa ili tusuluhishe maswala hayo.
view
28 Feb 2019 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise to support the Statement by the Senate Majority Leader. I do agree that corruption should be done in good faith---
view