All parliamentary appearances
Entries 14961 to 14970 of 17848.
-
26 May 2011 in National Assembly:
Hon. Musyimi, are you happy with that?
view
-
26 May 2011 in National Assembly:
Yes, hon. Martha Karua.
view
-
26 May 2011 in National Assembly:
Order, Assistant Minister! You are assuming that the Government waits for hon. Members to raise issues in order for it to undertake investigations! I am sure that the case has already been reported to the police. I am satisfied that Tuesday is reasonable time.
view
-
26 May 2011 in National Assembly:
Yes, Member for Kirinyaga Central.
view
-
26 May 2011 in National Assembly:
Hon. Gitari, yours should be to ask the Minister to take the necessary action, and not giving the details of what happened.
view
-
26 May 2011 in National Assembly:
When will you respond to the request for the Ministerial Statement?
view
-
26 May 2011 in National Assembly:
Bw. Mbuvi, hilo si jambo la nidhamu! Mbunge akileta jambo Bungeni, ni jukumu la Bunge kulishughulikia jambo hilo, iwe Mbunge aliyelileta jambo hilo yuko Bungeni ama hayuko.
view
-
26 May 2011 in National Assembly:
Bw. Mbuvi, kama taarifa ililetwa wakati hukuwemo Bungeni, ni bahati mbaya kwako. Taarifa hiyo iko katika
view
-
26 May 2011 in National Assembly:
rekodi ya Bunge. Unaweza kuisoma na kuielewa. Kama kuna jambo ambalo hukuridhika nalo, unaruhusa ya kuja kuuliza maswali.
view
-
26 May 2011 in National Assembly:
Nidhamu, Bw. Mbuvi! Usibishane na Mwenyekiti wa kikao hiki. Kuna shughuli za kutosha mbele ya Bunge. Tetesi zako ni kwamba uliahidiwa kwamba taarifa ingeletwa tarehe fulani lakini ikaletwa siku nyingine. Juu ya suala hilo, nimekubaliana nawe. Inatakiwa taarifa iletwe wakati ambao tumekubaliana katika Bunge. Lakini kuhusu suala la iwapo Mbunge aliyeitisha taarifa ni lazima awe Bungeni au la, hiyo si kazi ya Bunge. Waziri ataleta taarifa ile tarehe tuliyokubaliana. Yes, Leader of Government Business!
view