Ekwee David Ethuro

Born

31st December 1963

Post

P.O. Box 66713, Nairobi, Kenya

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

dethuro@yahoo.com

Email

dethuro@gmail.com

Telephone

0722526370

Ekwee David Ethuro

Speaker of the Senate (2013- August 2017)

All parliamentary appearances

Entries 2251 to 2260 of 17848.

  • 12 Jul 2016 in Senate: Sen. Muthama, uliuliza tarehe 23/02/2016? view
  • 12 Jul 2016 in Senate: Ulitarajia majibu lini? view
  • 12 Jul 2016 in Senate: Wapi Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi na Raslimali, ama naibu wake? view
  • 12 Jul 2016 in Senate: Mheshimiwa Sonko! Hapa tunazungumza kwa lugha ya Kiswahili. Statement ni lugha gani? view
  • 12 Jul 2016 in Senate: Mwanakamati, Sen. Obure! view
  • 12 Jul 2016 in Senate: Sen. Sonko akisimama kwa hoja ya nidhamu amekuuliza kwa nini Mwenyekiti hajaonekana. Naibu wake alikuwa hapa akatoroka. view
  • 12 Jul 2016 in Senate: Nakubaliana nawe kwamba hakutarajia maanake ilikuwa haijaandikwa kwenye orodha ya shughuli za Seneti. Hata hivyo, yafaa uwe tayari kukamilisha kazi ya Kamati. Usiseme utatoa taarifa kwa mwenyekiti. Ukiwa upo tayari, itoe hiyo taarifa sasa hivi. view
  • 12 Jul 2016 in Senate: Lini? The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate view
  • 12 Jul 2016 in Senate: Nimeamura kuwa taarifa hii itawekwa kwenye orodha ya shughuli za Bunge la Seneti wiki moja kutoka leo. view
  • 12 Jul 2016 in Senate: Sen. Hassan asifikiri Lugha ya Kiswahili ni Kimvita. Lugha ya Kiswahili ni lugha ya taifa. Kila Seneta anawajibika kuiongea, hata pamoja na Bw. Spika mwenyewe. Nimeona hata Sen.Orengo ikifikia kuzungumza Kiswahili, anakuwa mkufunzi. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus