Erick Okong'o Mogeni

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 271 to 280 of 2473.

  • 26 Jun 2024 in Senate: continue being entrenched. If that is the case, then we are not addressing the issues that are facing this country. The Finance Bill has triggered the challenges that we are facing as a country. Why can we not demand, as a Senate, that it be brought to us before it is assented to by the President? I want to draw the attention of the House, that there is nothing in this Constitution that stops this House from considering the Finance Bill as long as it has provisions that affect functions of county governments. The Constitution only has a restriction on ... view
  • 26 Jun 2024 in Senate: one Kenyan who should give us answers; the Inspector General (IG) of Police. He is the one who has commanding authority over the National Police Service (NPS). Worse still, we have the National Security Council (NSC) that has supervisory powers over all the security organs such as the Kenya Defence Forces (KDF), the National Intelligence Service (NIS) and the NPS. The NSC, under Article 240, is chaired by none other than the President of the Republic of Kenya. Does he approve the murdering of our youth by police force? We know that the United Nations (UN) Assembly of State Parties ... view
  • 26 Jun 2024 in Senate: Mr. Speaker, Sir, even when we had COVID-19--- view
  • 8 May 2024 in Senate: Bw. Spika wa Muda, pia mimi naomba nizungumze kwa lugha ya taifa. Nasimama kuunga Hoja hii iliyoletwa na rafiki yangu, Seneta wa Mombasa, Sen. Faki. Wakati tulipokuwa tunaangalia mpira wakati nikiwa mdogo, siku zile ambazo timu yetu ya Harambee stars ilikuwa inawika sana, tulikuwa tunamheshimu goalkeepe r mmoja aliyeitwa Mohamed Abass. Yeye alianza kucheza mpita akiwa kule Mombasa, akichezea timu iliyokuwa inaitwa Feisal Football Club kule Mombasa, na akaja akajiunga na Club ya AFC Leopards, na akawa goalkeeer maarufu sana katika kanda ya Afrika Mashariki na hata Kati. Wakati huo huo kulikuwa na mashindano yanayohusisha nchi za Afrika Mashariki na ... view
  • 8 May 2024 in Senate: , wakenya wote wanatazama runinga. Mara nyingi anatuletea dhahabu sisi. Kama Seneta wa kaunti ya Nyamira, ningependa Gavana ambaye naheshimu sana, Mhe. Amos Nyaribo, ajikakamue na amalize ujenzi wa uwanja wa Manga. Hakuna mtu hata gavana mwenyewe anaweza kujenga nyumba yake zaidi ya miaka 12. Ukiamua view
  • 8 May 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 8 May 2024 in Senate: kuwafanyia wakaazi wa kaunti kitu, fanya kwa haraka. Huwezi kutumia hizo pesa zote na baada ya miaka 12 haujamaliza uwanja huu. Hili ni jambo ambalo halifai. Rafiki yetu Gavana wa kaunti ya Mombasa, ambaye ni kijana wa mzee tuliyempenda sana, hon. Sharrif Nassir, akipata hizi pesa kwa kibahati tunamwomba azitumie vizuri na ahakikishe kuwa wakaazi wa Mombasa wamepata uwanjwa wa mpira ambao utakuwa wa kiwango cha kitaifa kama vile vingine. Sijui kama kuna timu ambayo inacheza kwenye Kenya Premier League kutoka Mombasa? view
  • 8 May 2024 in Senate: Kuna Bandari FC? Ningependa imenyane na timu yetu kutoka Gusii inayoitwa Shabana pale Mombasa. Tukienda pale tunasema ‘turebobe’ kwa lugha ya Kisii. Hiyo ndio slogan yetu. Acha tuwasaidie vijana wetu wapate uwanja mzuri. Unaweza amka kesho upate - kama tunaoenda kutazama mechi ya Bayern Munich na Real Madrid FC- kijana kutoka kaunti ya Mombasa akicheza katika European Champions League. Akicheza kule sisi wote tutakuwa tunajivunia kama Wakenya. Akienda kule pia atakuwa anasaidia kunawirisha uchumi wetu. Ningependa pia kumweleza Seneta rafiki yangu ambaye ameingia. Nilisikia kuwa alichangia maneno ya madaktari na kusema kuwa wanafaa kulipwa kama mawakili ambao hawajahitimu. Namwomba rafiki ... view
  • 8 May 2024 in Senate: Seneta ako na Hoja ya nidhamu? view
  • 8 May 2024 in Senate: Nafurahi sana kwa sababu rafiki yangu Mhe. Cherarkey sasa amegundua umuhimu wa madaktari na amesimama hapa kuwaomba msamaha. Ingekuwa jambo la kustaajabisha sana kama angerudi nyumbani na alale, ilhali ameongea vibaya kuhusu madaktari. Kwa hivyo, katika kitengo cha uwakili, mimi naitwa mshauri mkuu view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus