Erick Okong'o Mogeni

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 341 to 350 of 2536.

  • 8 May 2024 in Senate: Kuna Bandari FC? Ningependa imenyane na timu yetu kutoka Gusii inayoitwa Shabana pale Mombasa. Tukienda pale tunasema ‘turebobe’ kwa lugha ya Kisii. Hiyo ndio slogan yetu. Acha tuwasaidie vijana wetu wapate uwanja mzuri. Unaweza amka kesho upate - kama tunaoenda kutazama mechi ya Bayern Munich na Real Madrid FC- kijana kutoka kaunti ya Mombasa akicheza katika European Champions League. Akicheza kule sisi wote tutakuwa tunajivunia kama Wakenya. Akienda kule pia atakuwa anasaidia kunawirisha uchumi wetu. Ningependa pia kumweleza Seneta rafiki yangu ambaye ameingia. Nilisikia kuwa alichangia maneno ya madaktari na kusema kuwa wanafaa kulipwa kama mawakili ambao hawajahitimu. Namwomba rafiki ... view
  • 8 May 2024 in Senate: Seneta ako na Hoja ya nidhamu? view
  • 8 May 2024 in Senate: Nafurahi sana kwa sababu rafiki yangu Mhe. Cherarkey sasa amegundua umuhimu wa madaktari na amesimama hapa kuwaomba msamaha. Ingekuwa jambo la kustaajabisha sana kama angerudi nyumbani na alale, ilhali ameongea vibaya kuhusu madaktari. Kwa hivyo, katika kitengo cha uwakili, mimi naitwa mshauri mkuu view
  • 8 May 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 8 May 2024 in Senate: ama wakili mwandamizi. Kwa hivyo, nikizungumza lazima unielewe. Nakushukuru sana Mheshimiwa kwa kusimama na kuomba madaktari msamaha. Bw. Spika wa Muda, nilikuwa nazungumzia hoja ya madaktari--- view
  • 8 May 2024 in Senate: Wacha nimalize. Kuhusu maneno ya madaktari walio kwenye mgomo, kampuni za bima ya afya hazipeani bima kwa walimu waliotufundisha kule nyumbani na wazazi ikiwa wamefika miaka 80 na zaidi. Kwa hivyo, wale wakenya wanaoumia zaidi ni wazazi wetu. view
  • 8 May 2024 in Senate: Naomba msamaha. Ni kwa sababu madaktari wakiwa wamegoma hulali. Ndio maana nikaonelea ‘niibe’ dakika moja nizungumzie kwa sababu sijui wakati nitahitaji daktari. Naweza kuwa kule Nyamira na niugue homa. Nitakimbia katika Hospitali Kuu ya Nyamira kupata huduma ya dharura. Ndio maana nazungumza kwa dakika moja tu kwamba Serikali yetu ijaribu kutafuta suluhisho. Sisi kama viongozi hatulali. view
  • 8 May 2024 in Senate: Tunapokea simu nyingi mno kutoka kwa wale ambao tunawakilisha hapa. Sitaki kuzungumza zaidi ya hayo. Nimesimama kuunga mkono Hoja ya rafiki yangu, Seneta wa Mombasa, Seneta mwenye bidii sana. Sio wengi wanafikiria kuja kuomba pesa kupelekea gavana kujenga uwanja wa mpira. Namshukuru sana Sen. Faki kutoka Mombasa. Na pia, naomba maseneta wenzangu waunge Hoja hii mkono ili tumpe hizi fedha wajenge uwanja wa mpira katika kaunti ya Mombasa. Asante. view
  • 30 Apr 2024 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Finance and Budget concerning the utilization of conditional grants for the Financial Year 2020/2021 in the County of Nyamira. In the Statement, the Committee should- (1) Provide a detailed report on how the following funds from the conditional grants for the Financial Year 2020/2021 were utilized- (a) Kshs278,847,760 for Universal Healthcare Project. (b) Kshs60,409,894 for development of youth polytechnics. (c) Kshs146,215,617 for the Fuel Levy Maintenance Fund. (d) Kshs114,705,300 for the Kenya Urban Support Programme (KUSP). (e) Kshs198,509,110 for the World ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus