Parties & Coalitions

Born

1943

Died

7th August 2012

Post

P.O. Box 27762 - 00506 Nairobi, Kenya

Post

P. O. Box 53 Lodwar

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 10.

  • 17 Jul 2007 in National Assembly: Thank you, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, for giving me this chance to contribute to this Vote. This Vote is very important because--- view
  • 17 Jul 2007 in National Assembly: This Motion is very important because we are approving funds to manage education in this country. If you want to achieve development and industrialisation in this country, and have civilised people, you have to educate your children properly. I know what retarded this country for a long time. Education activities were not addressed properly. It was only recently, when His Excellency Hon. Kibaki took over the Government, that he considered the importance of education. He has a broad vision for education. If it was my responsibility, I could have decided that most of the funds be channelled for educational development. ... view
  • 12 Jul 2007 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, nimezima simu! view
  • 12 Jul 2007 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, tumepitisha Hoja muhimu juu ya matumizi ya pesa katika Wizara hii. Tunataka tuwe na amani hapa nchini. Amani itapatikana ikiwa usalama utakuwa thabiti. Utawala wa Mkoa na polisi wanahitaji pesa nyingi ili kuwe na usalama na amani nchini. Katika eneo langu, kuna tarafa tatu. Tarafa hizi hazina magari ya DOs --- view
  • 12 Jul 2007 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, hizi pesa ambazo tumeipa Wizara hii hazitoshi. Ninaiomba Serikali iwe na mipango ya kuziongeza ili Waziri afanye kazi vizuri. Kwa hayo machache, ninaunga mkono. view
  • 25 Apr 2007 in National Assembly: Asante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii ili nichangie Mswada huu. Yangu ni machache. Ningetaka kuomba Bunge hili lirekebishe maneno ya kuandikisha vyama vingi hapa nchini. Vyama vingi sasa vimetambaa kote nchini. Kama vile Waswahili walivyosema, wingi wa kila kitu ni sumu. Kwa hivyo, tukiendelea kuwa na vyama vingi nchini, vitatawanya wananchi. Kwa hivyo, ningeomba tujaribu kutambua vile vyama ambavyo vinaweza kuongoza nchi hii kwa utaratibu na kuifanya iwe na demokrasia ya ukweli. Ningependekeza tuwe na vyama vitatu au vinne kama vile inavyofanyika kule Amerika au Uingereza. Kule Amerika, ambapo kuna watu wengi kuliko Afrika, kuna ... view
  • 3 Apr 2007 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, asante sana kwa kunipa nafasi hii kuchangia Hotuba ya Rais. Hotuba hii ilikuwa na mpango mzuri sana na ikiwa yale aliyoyasema yatatekelezwa, nchi hii itaendelea mbele. Katika Hotuba ya kwanza ya Rais mwaka wa 2003, mimi sikukubaliana nayo kwa sababu mara nyingi tunasomewa Hotuba nzuri ya Rais na baadaye hakuna vitendo. Lakini leo ninaunga Hotuba ya Rais mkono kwa sababu baada ya Hotuba ya 2003 mimi nimeridhika na vitendo vyake na mipango yake katika nchi hii. Kwa muda wa miaka michache; minne sasa, tumeona maendeleo. Nchii hii imekuwa na maendeleo mengi. Maendeleo yamefanyika kila mahali; ... view
  • 29 Mar 2007 in National Assembly: On a point of order, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir. Most of those hon. Members who are on your list are absent. So, I think you should give those of us who are present a chance to contribute. view
  • 28 Mar 2007 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, I am not satisfied with the explanation given by the Assistant Minister. The hon. Member of Parliament for Samburu West Constituency asked a specific Question on Form One students from pastoralist communities. He said they are losing their chances of joining Form One due to the outbreak of the Rift Valley Fever (RFV) which has resulted in lack of markets for livestock. In his explanation, the Assistant Minister talked about some allocation in the Budget for other school projects. Does he, therefore, want us to use that money to pay school fees for those students? view
  • 18 Jul 2006 in National Assembly: Ahsante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda. Hoja hii ya Wizara ya Barabara na Ujenzi ni muhimu sana. Barabara ni maendeleo. Nataka kuongea juu ya barabara kutoka Kapenguria hadi Lodwar. Hali ya barabara hiyo ni ya kusikitisha sana. Barabara yenyewe ni ya kilomita 300. Wakati ilipojengwa, ungeweza kutumia masaa matatu kwa gari kutoka Lodwar hadi Kitale. Lakini sasa, unatumia masaa saba kutoka Lodwar hadi Kitale! Hali ya barabara hiyo ni mbaya sana. Watu wanatatizika sana. Sijui ikiwa Serikali inajua hali hiyo. Mimi mwenyewe nimelalamika juu ya barabara hiyo hapa Bungeni. Hata nilimtembelea Waziri wa Ujenzi na Barabara wakati huo, Bw. ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus