20 Jun 2018 in National Assembly:
I am rising on a point of order. For 30 years I have been working as a group farm manager in the coffee farms where you do not drive, you just walk. I live in Juja, I do not use cars, I just walk. Is he in order to say that when you do not exercise, you get cancer and he knows I have it?
view
19 Jun 2018 in National Assembly:
Thank you Hon. Speaker for allowing me to air my comments on a Senator that I was with for seven weeks in India. When I got to India, he is the person who spoke to me on the side and told me how cancer is. When we compared, he told me to go easy because it was in Stage Two. He told me it was difficult to cure his which was at Stage Four. With my family which I was with in India, I send my condolences. I remember we used to go to church together when we were pushing ...
view
24 Apr 2018 in National Assembly:
Ahsante sana, Mheshimiwa Naibu Spika. Hii ni kadi yangu mpya lakini haijaanza kufanya kazi. Nimesema nitaongea Kiswahili leo kwa sababu ya yale mambo niko nayo. Mheshimiwa tulifanya kazi naye hapa Bunge iliyopita katika shughuli za kamati. Nawapa pole watu wake na familia yake yote na Mwenyezi Mungu amuweke mahali pema peponi. Tunapoongea haya maneneo, watu wanajua nimekuwa nikiongea sana kuhusu haya mambo ya cancer . Mimi mwenyewe…
view
24 Apr 2018 in National Assembly:
Mimi nimepatwa na saratani na nikasema niko nayo hata kabla ya kwenda kutibiwa. Sababu yangu kwenda kupimwa ni kwa sababu dada yangu mkubwa aliyekuwa anaishi Muchatha, Banana, alikuwa na saratani na alipozidiwa na ugonjwa alikuja kuishi kwangu Juja. Wakati alipimwa na akapatikana na saratani, baada ya hapo, alikufa kwa sababu saratani ilikuwa imefika Stage 4 . Alikufa na akapumzika. Wa pili, alikuwa ni mama yangu ambaye sasa tunaishi naye. Wakati alipimwa, mimi nilikuwa nafanya kampeni. Mama pia alipatikana na saratani. Lakini kwa bahati ya Mwenyezi Mungu, ilikuwa ni Stage 2 . Tulimpeleka Aga Khan miezi minane na akapona. Wakati The ...
view
24 Apr 2018 in National Assembly:
nimemaliza kufanya kampeni, nilisema inaweza kuwa familia ina haya mambo ya saratani. Wakati nilienda kupimwa hospitali ya Aga Khan, nilipatikana nayo ikiwa Stage 2 . Kwa bahati, nilikuwa nimefanyia familia ya Kenyatta kazi kwa miaka mingi, miaka 30 kama meneja wao wa kahawa. Nikapelekwa India mbio mbio. Nilipofika pale, ndipo tukajua kwamba saratani si vile tunafikiria hapa nchini. Huko India, kuna mashine mbili tu ambazo zinapima saratani. Zile mashine zingine 15 ziko Marekani. Wakati unapimwa hivyo virusi vingi vya mwili, unaambiwa saratani yako inaweza kuwa ya aina ya virusi maelfu na maelfu ya milioni. Sasa niliulizwa: “Kwa sababu ulichukuliwa picha, ...
view
24 Apr 2018 in National Assembly:
Ya mwisho ni kueleza wananchi wa Kenya na wale tuko nao hapa Bunge kuwa nilirudi juzi. Nikikueleza kuna wengine wamenikuta hapa Bunge, 34, na wameniambia niwaonyesha mahali nilikuwa na vile wataenda. Mambo ya saratani isifichwe ndio watu wajue saratani inaweza kutibiwa namna gani. Lakini saratani isipelekwe mashinani kwa kaunti kwa sababu watu wanakufa kila siku juu ya saratani.
view
24 Apr 2018 in National Assembly:
Hata juzi, nimemwambia President ya kwamba zile mashine alikuwa amenunua kupeleka kwa kaunti na zikakataliwa, zipelekwe kwa lazima.
view
29 Mar 2018 in National Assembly:
On a point of order, Hon. Deputy Speaker.
view
29 Mar 2018 in National Assembly:
Hon. Deputy Speaker, I just want to remind the Members here that Miguna Miguna is my good friend. There is a time when he said that the former Prime Minister Raila Amollo Odinga will never be a President of this country but I corrected him.
view
29 Mar 2018 in National Assembly:
I am saying this because Miguna Miguna and I are different from the rest of the Members. Recently, I underwent a head operation just like Miguna. Do not fight him because the situation may be different from what he says. We should assist him and not fight him.
view