22 May 2024 in Senate:
Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. I once again thank the Senate for the good work they are doing for this country. I am happy to be here this morning. I had asked to be excused today because I had issues at hand. However, because of my appreciation and respect for the House of Parliament, we had to stop all the issues that we are running out of Nairobi yesterday evening and today, for me to appear this morning. I am ready to answer the four Questions, so that if I have a bit of time remaining, I can catch ...
view
22 May 2024 in Senate:
Part (c) is on which Government institution is responsible for managing the geolocation information. The geospatial data on coffee shall be hosted at the AFA Coffee Directorate for ease of data management, storage, retrieval and dissemination. There shall be continuous update of the database through periodic ground truthing. Where need be, the geodata collected will be assessed by the authorized parties to inform generations of due diligence statements for coffee exports to the EU market. Part (d) is on whether there is any budgetary allocation for maintaining a comprehensive and accessible database for geolocation data. Currently, there is no budget ...
view
22 May 2024 in Senate:
Bw. Naibu wa Spika, sijui ikiwa sheria na desturi za Bunge zilibadilika. Ninavyokumbuka ni kwamba lugha inayotumika ndio unayotumia kujibu.
view
22 May 2024 in Senate:
Sen. (Dr.) Murango amenitia katika kona ambayo nawezashindwa kujieleza vizuri. Naomba niweze kujaribu kumjibu. Ningependa kusema na ieleweke vyema kwamba kazi tunayofanya, hasa tunafuata ajenda ya Bottom-Up Economic Transformation Agenda (BETA) . Tunataka kuongeza mauzo ya nje ya nchi kwa majani chai, kahawa, maziwa na kadhalika. Nahakikishia Seneti hii kwamba tuko na nia ya kuhakikisha kahawa inayotoka katika nchi yetu inaendelea kuongezeka kila wakati. Tutaendelea kuuza kahawa kwa kuwa tunauza hata sasa. Compliance na regulations ni kuhakikisha hatukosi soko. Ndio sababu tunajitahidi kufuatilia sheria hizi ili kuhakikisha soko yetu au kahawa tunayopeleka kule haina tatizo lolote. Nilikuja Jumatatu asubuhi kutoka ...
view
22 May 2024 in Senate:
Bw. Naibu Spika, wacha niseme hivi kwa sasa. Najua, Serikali imeweka juhudi na mikakati kuhakikisha mkulima akishavuna kahawa yake, atapata pesa zake wakati unaofaa. Nakumbuka vyema Baraza la Mawaziri tulipitisha Coffee Cherry Advance
view
22 May 2024 in Senate:
, ambayo imekuwa ikilipa wakulima. Sababu ya sisi kupitisha CCARF hiyo ilikuwa ili wakulima wetu wasipoteze ama wasitapeliwe na wale brokers na wapate pesa kabla kahawa kuuzwa na waweze kulipwa Jambo la pili na niliseme kwa mukhtasari kuna mikakati mingine tunayoiweka kuhakikisha wakulima wetu wamewashugulikia. Kama ilivyosema hapo awali Wizara ya
view
22 May 2024 in Senate:
, NationalTreasury and Economic Planning na Wizara yangu tumetengeneza memo ya kuweza kuvutilia mbali madeni yote katika cooperatives na inayodaiwa wakulima wa kahawa. Tumeweka kidole na tutavutilia mbali madeni waliyo nayo ili wakulima wa kahawa waweze kufaidika na waweze kuendelea kukuza kahawa. Kwa hivyo, Sen. (Dr.) Murango, hayo ndiyo tunayoyafanya. Kujua kama kweli ni pesa ngapi ama wakulima hawajalipwa na kama watalipwa kabla ya mwezi wa tano kumalizika, ningeomba unipee nafasi niwasiliane na ndugu yangu, Chelugui, kwa sababu hiyo ndiyo Wizara yake ya uuzaji wa kahawa na kulipa wakulima. Kazi yangu ni kuzalisha. Nikimaliza kuzalisha na kupeleka kwa factory na ...
view
22 May 2024 in Senate:
Immediately I am out of this Chamber, I will call the Cabinet Secretary to apprise him of the issues that have arisen on the Floor. I am sure because that appears to be quite straightforward on when or whether the money would be paid to the farmers, it is something that should not take more than seven days to get an answer. Asante.
view
22 May 2024 in Senate:
Nafurahi Bw. Naibu Spika kusikia kutoka kwa Seneta wa Makueni kuhusu zile juhudi wakulima wa Makueni wameweka ili kutusaidia kuzalisha kahawa. Tutashirikiana na wao na magavana wa ukambani akiwemo rafiki yangu, Mhe. Mutula Kilonzo, Jnr. Nimetembea huko mara nyingi na Makueni is my second county . Katika mpangilio wa Serikali kwa mambo ya upanzi wa miti, mimi ndio in charge of Makueni County. So, I frequently make visits to Makueni. Let me promise kwa sababu, japo mambo ya crop husbandry ambayo ni function ya county government, nitashirikiana nao. Tuko na Directorate ya crop proctection katika Wizara yangu inayojaribu kujenga uwezo ...
view
22 May 2024 in Senate:
, kuhakikisha ya kwamba ukuzaji na uzalishaji wa kahawa unafanyika kwa mazingira ambayo hakuna wadudu ambao wataadhiri quality. Ili tuweze ku- secure soko yetu ambayo tuko nayo, kuongezea quality ya kahawa tutakayozalisha nchini. Kahawa ya Kenya ndio bora zaidi dunia kote.
view