James Orengo

Parties & Coalitions

Full name

Aggrey James Orengo

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Telephone

0722743743

All parliamentary appearances

Entries 711 to 720 of 4273.

  • 24 Nov 2020 in Senate: Bw. Spika wa Muda, kwa vile umesema nizungumze kwa Kiswahili, nitajaribu nizungumze kwa lugha ya Kiswahili. Kwanza, pongezi kubwa kwa Rais Uhuru Kenyatta kwa Hotuba aliyotoa hapa Bungeni. Alizungumzia mambo kadhaa. Ni muhimu kwake kuhutubia Bunge kila mwaka ili kueleza mambo yanayoendelea nchini na hasa yale ambayo yameelezwa katika Kipengele 132 cha Katiba ya Kenya. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 24 Nov 2020 in Senate: Bw. Spika wa Muda, ukizingatia hali yetu kama taifa, Rais, kama yule ambaye amepewa jukumu la kuongoza nchi na kusimamia mambo fulani katika Serikali, ni lazima akija hapa Bungeni aelezee haya maneno. Katika kutoa hiyo Hotuba, aliangazia mambo mengi. Katiba imeeleza ya kwamba wakati wote akija kutoa Hotuba katika kikao cha pamoja cha Bunge la Taifa na Seneti, ni lazima azungumzie mambo mawili ambayo ni muhimu. Jambo la pili ni kuhusu mambo ya kitaifa. Ukiangalia eneo la Afrika Mashariki pamoja na Afrika Kusini, yale ambayo yanaendelea kwa nchi hizi ambazo kwa kiingereza wanasema “ Horn of Africa ”, tumekuwa na ... view
  • 24 Nov 2020 in Senate: Tukiangalia mambo ya uchumi, tuko katika hali duni. Niliskia Bw. Spika wa Muda akizungumzia kuhusu mambo ya madeni. Mambo ya madeni lazima tuyaangalie. Tukianza kusikia kwamba World Bank na IMF wameanza kurudi Kenya, lazima tujue kwamba, tumeingia katika hali ya hatari. Wakati Rais Kibaki alipochukua usukani, pole pole, tulianza kuona mambo ya IMF na Word Bank yakienda chini. Lakini kwa miaka miwili iliyopita, tumeanza kusikia mambo ya IMF na World Bank. Hii inaonyesha kwamba tunaendelea kukaliwa na hizi nchi ambazo zimeendelea, na wanajaribu kuleta ukoloni mamboleo. Lazima tufanye juhudi kuona kwamba Uhuru wetu si uhuru wa kisiasa pekee yake, lazima ... view
  • 24 Nov 2020 in Senate: Najua kuna matatizo katika Chama cha Jubilee ambayo yameleta taabu kwa sababu ya wanafiki. Wakipewa nafasi ya kulinda mali ya wananchi, ‘wanairarua’ vibaya mno. Hata hawawezi kuacha mfupa. Sasa wako kortini kulialia lakini ni lazima waende hapo. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 24 Nov 2020 in Senate: Sifa ya mnafiki ni kwamba ukimtuma mahali popote, ujumbe utakaompa utakuwa ni mambo mengine. Atasema uongo kwa sababu hawezi kusema kile ulimtuma. Hizo ni sifa tatu. Kati ya hizo sifa tatu, mbili ni mbaya zaidi. Sifa hizo mbili ni uongo na wizi. view
  • 24 Nov 2020 in Senate: Mwaka huu sisi hatutaki mambo ya 2022. Wananchi walichagua Serikali na viongozi. Kwa hivyo, bado tuna miaka miwili. Katika nchi ya Italia, kuna serikali zingine hupewa mwaka mmoja tu kufanya kazi na kuondolewa. Kule Marekani, wambuge wa view
  • 24 Nov 2020 in Senate: huchagauliwa kwa miaka miwili pekee. Rais huchaguliwa kwa miaka minne wala si mitano. Uchaguzi mwingine hufika pindi tu mtu ameanza kazi. Sisi huwa miaka mitano kabla ya uchaguzi mwingine. Kwa nini hao wenzetu wasiwe na subira ya kungoja wakati ufike ndio waanze misukosuko ya siasa za 2022? Kulingana na Hotuba yake, Rais anataka tufanye kazi. Kenya imekuwa mfano mzuri kwa nchi zingine. Tulionyesha kwamba tunaweza kupigana kwa sababu ya uchaguzi lakini baadaye tukafanya kazi pamoja kwa sababu Kenya ina Serikali moja. Hata upinzani ni moja tu. Katika hii Seneti, mimi ndiye Kiongozi wa Wachache. Upande ule kuna Sen. Poghisio ambaye ... view
  • 17 Nov 2020 in Senate: Thank you very much, Mr. Speaker, Sir, for giving me this chance to also express my heartfelt condolences to the people of Matungu on the passing on of hon. Murunga. As you know, Matungu is a neighbouring constituency to Ugenya Constituency, where I live. It is with the deepest regret that a neighbour with whom we have had a good relationship--- In fact, throughout my history in Parliament, I have been having very good and extensive relationship with Members elected from that particular constituency. The late hon. Murunga was not a divisive politician. He was somebody that sought consensus and ... view
  • 17 Nov 2020 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 17 Nov 2020 in Senate: facilities that the health workers who are at the frontline need, I am very saddened that before the death of our colleague, we lost about five governors. Sen. Mutula Kilonzo Jnr. knows that we have worked with the doctors in defending their rights. I am sure that if we had a proper working health facility in Matungu or the neighborhood, we would not have lost the life of hon. Murunga. This is, therefore, a wakeup call. The Coronavirus Disease (COVID-19) is going to be with us for another one or two years. By the time the vaccines reach our territory, ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus