Johana Ngeno Kipyegon

Parties & Coalitions

  • Not a member of any parties or coalitions

Born

12th December 1972

Email

johnngeno@yahoo.com

Telephone

0713426048

All parliamentary appearances

Entries 281 to 290 of 1032.

  • 17 May 2017 in National Assembly: Kwa hivyo, hii Kashfa ya National Youth Service (NYS) ni ya watu wametuzoea. Kumbuka juzi tu, Bwana Rotich alikuja hapa na kutuelezea kwamba, kwa sababu ya njaa na ukame, wameamrisha kwamba mahindi yote ambayo inatoka nje haitatozwa ushuru. Hata mimi mwenyewe nilishangaa kwa nini Bwana Rotich hakusema tunahijati tani fulani za mahindi ndio wakora wasitumiwe kuileta. Wametuambia mahindi imetoka Mexico. Hata Kenya imeingia kwa orodha ya “Maajabu Tisa ya Ulimwengu”. Yaani, hiyo mahindi ilisafirishwa kwa masaa 48 kutoka Mexico hadi Kenya. Hiyo haijawahi kutendeka hata kwa dunia nyingine. view

  • 17 May 2017 in National Assembly: Wengine wetu wanajua kwamba hiyo ni mahindi ambayo imetoka kwa mradi wa Galana- Kulalu, ambao tulitumia Kshs9 milioni kutengeneza ili tukuze mahindi. Mahindi ambayo yalivunwa mwaka wa kwanza, wa pili na wa tatu ilienda wapi? Hiyo ni mahindi ambayo wakora wa Jubilee walipeleka huko Mombasa na kuyaweka kwa meli na kutuambia yametoka Mexico. Tunajua haya mambo. Watu wanatafuta pesa za kampeini na hatuwezi kubali. Hatuwezi lala tukiona. Kwa hivyo, tunataka kuwaambia hiyo kashfa ya mahindi tunaijua. Ni kama ile ya NYS. view

  • 17 May 2017 in National Assembly: Hao watu wametuzoea. Hii kashfa ya NYS tunataka iishe kwa sababu tumeiweka kwa Meza ya Bunge. Tunataka mashirika ya kiserikali kama vile Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC), Director of Public Prosecutions (DPP) na Criminal Investigation Department (CID) waingilie haya maneno na wafanye upelelezi mara moja. Wale ambao walihusika wapelekwe kortini na kufunguliwa mashtaka. Kuna mtu ambaye anaitwa Wambora aliyefanya tenda ya Kshs79 milioni ya kutengeneza barabara ya kilometa tatu na nusu. Badala ya kulipwa hizo Kshs79 milioni za wizi, alilipwa Kshs791 milioni na Wakenya wanaona kwa kioo. Natamani Kenya ingekuwa kama Uchina kwa wiki moja na watu wawekwe kwa firing ... view

  • 17 May 2017 in National Assembly: Hii kashfa ya NYS inafaa kumalizwa. Tunaomba Mungu atujalie sisi wote turudi kwa Bunge hili ili tufuatilie na kuhakikisha wale wote ambao walihusika wamewekwa korokoroni, wapate shida huko na lazima warudishe pesa ambazo waliziiba. Hatuwezi kuwafunga watu na tuwaachie pesa. view

  • 17 May 2017 in National Assembly: Ahsante sana Naibu Spika wa Muda. Kwa Bunge lijalo, sisi ambao Mwenyezi Mungu ataturuhusu turudi hapa tutahakikisha ya kwamba wale ambao watakaa kwa Kamati ya Implementation watahakikishe kwamba hii maneno imefuatiliwa mpaka mwisho. Baada ya kila miezi sita, tutaleta Hoja kuuliza ile mambo ya NYS yamefika wapi. Hii kashfa ya NYS hatuwezi kuiachilia kama ile ya Goldenberg. Tutaifuatilia mpaka tuhakikishe ya kwamba wale ambao walihusika wamechukuliwa hatua inayofaa kisheria. Naunga mkono. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus