1 Sep 2016 in National Assembly:
Hatutaki sheria kama hizi. Tuunde sheria inayosaidia Kenya hii. Tunatoka sehemu ambazo watu wanatoa mamilioni ya pesa kila wikendi. Kuna shida gani? Hawa ni watu wameshindwa kufanyia raia kazi. Sisi tumesema: “Kwa sababu wameshindwa kufanyia raia kazi, wacha wazilete hizo pessa kwa michango.” Hivyo, itakuwa tumetumia ile pesa angeleta kufanyia kazi. Napinga hii sheria kabisa. Ningependa hii Nyumba isiwe ya kupitisha sheria mbaya. Tutumie hii Nyumba kujenga nchi yetu. Hakuna hatia kuchanga. Hakuna sheria yoyote kwa hii Nyumba ama kwa Katiba inayokataza na kusema ni hatia kufanya mchango. Uchaguzi unakuja. Utasikia kila hoteli Nairobi hii, iwe Inter-Continental au Laico Regency, ...
view

Najua sheria hii ililetwa kutoka upande ule mwingine. Lakini, tuikatae ikifika hapa, tafadhalini. Hata rafiki yangu Mwenyekiti wa Kamati ya Kiidara ya Haki na Masuala ya Sheria aliyeleta huu Mswada hapa namuuliza autoe. Mhe. Spika, unajua umaskini si kitu unajiitia. Mwenyezi Mungu hajatakia yeyote kuwa maskini. Hakuna mtu Mwenyezi Mungu alimtuma duniani na kumuambia: “Nenda uwe maskini.” Umaskini unaletwa na shida. Shida moja ni kutokuwa na rasilimali. Shida ya pili ni viongozi wanaokataza wananchi kupata au kufikia rasilimali za nchi hii. Kwa sababu tunataka michango iendelee, ile sheria ambayo labda tungekubali ni inayosema michango ifungwe miezi sita au mitano kabla ...

Hon. Temporary Deputy Chairlady, I beg to move:-

THAT, the Bill be amended by deleting clause 9.

I would like to beg the attention the House for its indulgence. I know that there has been a serious acrimony based on amendments that have been dropped. I would like to beg our friends, that we know their problems to allow us to move these amendments. This is a draconian and offensive Bill. It is just like the one that Hon. Olago moved. I am told this part was sneaked by one person that we all know about and has given orders to somebody here. Hon. Temporary Deputy Speaker, Clause 9 was imported from Clause 28 in the previous ...