Johnson Arthur Sakaja

Parties & Coalitions

Born

1985

Email

jsakaja@gmail.com

Link

@SakajaJohnson on Twitter

Johnson Arthur Sakaja

Nairobi Senator; Chairman of the Kenya Young Parliamentarians Association; National Chairman - TNA (2012-2016).

All parliamentary appearances

Entries 1111 to 1120 of 5036.

  • 18 May 2021 in Senate: Jambo la tatu ni la kijografia. Ukiangalia mambo ya kijografia, alisema kwamba ni Mwenyezi Mungu ambaye aliamua sisi tuwe majirani na sio sisi. Tuko na mipaka baharini na ardhini katika nchi kavu. Ikolojia yetu ni moja. Alitoa mfano ambao Sen. Cheruiyot alijaribu kusema, kwamba, wanyama wetu wa pori hutoka Serengeti na kupata mimba katika Maasai Mara na wakirudi, hao ambao wamezaliwa tunasema ni wa Tanzania au Kenya? Kwa hivyo, kutokana na ukweli huo na ushirikiano kati ya Tanzana na Kenya, hatuna hiari, bali kufanya kazi pamoja. Mungu ameamua na sio lazima tuendelee. Katika uwekezaji, aliorodhesha Kenya kama nchi ya tano ... view
  • 18 May 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 18 May 2021 in Senate: Ningependa kuwasihi viongozi wenzangu tuzidi kutembeleana. Nilifurahi vile Rais Samia Suluhu alisema haitakuwa mara yake ya mwisho kuja Kenya. Tunamkaribisha aje tena. Ningependa kumwambia ya kwamba amekaribishwa Nairobi City County na akija wakati mwingine tutaenda kutembea na tuone sehemu nyingi katika taifa letu. Nina marafiki wengi katika Bunge la Tanzania. Ndugu yangu January Makamba ambaye aliwania urais alikuwa namba tano. Alikuwa na miaka arobaini. Nilimweleza, kweli mmepata rais mzuri. Alicheka na kusema, kweli tuko na rais mzuri. Labda miaka ijayo yeye pia atakuwa rais wa Tanzania. Huwezi kujua mipango ya Mungu. Labda mimi nitakuwa rais wa Kenya katika siku za ... view
  • 18 May 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 18 May 2021 in Senate: biashara mipakani na uvukaji wa watu. Kuna mambo mengi ambayo tunaweza kufanya kati yetu. Tunamshkuru sana kwa kuja hapa na ninaomba kwa sababu alimwalika Rais wetu Uhuru Kenyatta awe mgeni wa heshima katika wakati watakuwa wanaadhimisha siku yao ya uhuru, ningeomba pia apewe heshima vile, pia aweze kuhutubia Bunge lao kwa sababu mambo ambayo atatamka hapo, itabidi mawaziri wetu wahakikishe yametekelezwa. Naomba ya kwamba kusiwe na yeyote katika Serikali yetu ambaye atakataa kufuata amri ambayo Rais wetu alisema na kusiwe na yeyote katika Serikali ya Tanzania ambaye atatenda kinyume na maagizo ambayo Rais Suluhu alisema. Mwisho kabisa alisema ya kwamba ... view
  • 18 May 2021 in Senate: Thank you, Madam Temporary Speaker. I want to thank the Serjeant-at-Arms for sanitizing the Dispatch Box. We still remember that we are living in times of COVID-19. Madam Temporary Speaker, I am honoured to have this opportunity to second the Mental Health (Amendment) Bill, 2020 that has been sponsored and moved by Sen. Kasanga. You have heard her giving accolades to Members of the Senate. She has told us the progress that the conversation on mental health has been able to progress and taken in this country. Madam Temporary Speaker, the one person. Sen. Kasanga cannot give the accolades, but ... view
  • 18 May 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 18 May 2021 in Senate: In the history of this country and this Parliament, there has never been a stronger champion for these issues on mental health. She has moved out of her comfort zone and on television. I know it was a new world that was opening up to her. She has gotten champions. She has lobbied. She has spoken to stakeholders. She has knocked doors of Ministry or Government or private sector and she has brought to light a conversation that for a long time pushed the back bands of the political and policy discourse in this country. It is the efforts of ... view
  • 18 May 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 18 May 2021 in Senate: the normal stresses of life, work productively and fruitfully and make a contribution to their communities. Anything that adversely affects that is what mental health efforts seek to address. That is what mental health is. It has been categorized in many aspects by medical proffessionals. We have what we call schizophrenia, obsessive compulsive disorders, Attention Deficit Hyperactivity Disorder and bipolar disorder. Recent medical research goes into areas which initially had never been classified as mental health disorders such as depression, anxiety, borderline disorder, eating disorders, alcohol and substance addiction and post-traumatic stress disorder. When you see a lot that happens ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus