24 Nov 2020 in Senate:
Sen. Sakaja, hujabonyeza, hujauliza nafasi?
view
24 Nov 2020 in Senate:
Sen. Sakaja, hapo awali hukuwa umeuliza tuwahimize, uliuliza tuwaamrishe. Sasa umerekebisha. Tunawahimiza watumie lugha ya Kiswahili, lakini yule ambaye ameona hajimudu kwa lugha ya Kiswahili, ana uhuru kuchagua lugha ya Kiingereza. Endelea Sen. (Dr.) Milgo.
view
24 Nov 2020 in Senate:
Muda wako umeyoyoma. Nafasi hii nitampa Sen. Kwamboka.
view
24 Nov 2020 in Senate:
Naona sasa itabidi uzingatie Kiswahili vizuri, kwa sababu matamshi kama “handsheki” hayapo katika lugha ya Kiswahili. Labda useme walipeana salamu za amani.
view
24 Nov 2020 in Senate:
Sen. (Dr.) Zani, proceed.
view