Judith Ramaita Pareno

Parties & Coalitions

Telephone

0722860345

All parliamentary appearances

Entries 2071 to 2080 of 3416.

  • 23 Jul 2019 in Senate: I now order that the doors be locked and the Bars drawn. view
  • 23 Jul 2019 in Senate: Assisted voters; Sen. (Rev.) Waqo and Sen. (Dr.) Lelegwe, register your votes. view
  • 23 Jul 2019 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 23 Jul 2019 in Senate: Hon. Senators, the results of the Division are as follows: view
  • 23 Jul 2019 in Senate: I now call upon the Mover. view
  • 23 Jul 2019 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, I beg to report that the Committee of the Whole has considered The Division of Revenue Bill (Senate Bills No. 13 of 2019) and its approval thereof without amendments. view
  • 23 Jul 2019 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Kabla sijachangia taarifa hii, ningependa kuwakaribisha wanafunzi kutoka shule ya Calvary kutoka Kaunti ya Kajiado. Mmekaribishwa sana katika Seneti yetu; tunawaombea msome vizuri na mfaulu kimaisha. Asante kwa kuchagua kuja kujifunza katika Seneti ya Kenya. view
  • 23 Jul 2019 in Senate: Bw. Spika wa Muda, namshukuru ndugu yangu, Sen. Faki, kwa kuleta taarifa hii kuhusu ujenzi wa ofisi za uvuvi za kitaifa. Nmeangalia taarifa ambayo ilikuwepo katika gazeti kuhusu kandarasi hiyo na imebainika kwamba kuna wafadhili, ambao ni Benki The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 23 Jul 2019 in Senate: Kuu ya Dunia, waliojitokeza na kuamua kufadhili mradi huo wa uvuvi katika Kaunti ya Kwale, Mombasa, Kilifi, Tana River na Lamu. Itakuwa maajabu iwapo Benki Kuu ya Dunia itajitokeza kufadhili kaunti tano ama kufadhili uvuvi na kuinua maisha ya wavuvi katika kaunti hizo tano, halafu Serikali ya Kitaifa iamue kwamba pesa hizo ambazo ni za wafadhili zitumike katika kujenga ofisi Nairobi. Kufanya hivyo, itakuwa ni kudhulumu wavuvi na haifai kabisa. Bw. Spika wa Muda, ingawa Katiba yetu imesema kwamba mambo ya uvuvi yako katika ofisi za kitaifa, basi ingefaa wale wanaopenda kujenga ofisi hizi za kitaifa hapa Nairobi watumie bajeti ... view
  • 23 Jul 2019 in Senate: Bw.Spika wa Muda, nimeelezwa kwamba tayari kuna ofisi ya utafiti katika kaunti za Pwani. Kwa hivyo, pesa hizo zingefaa kutumika kuipa nguvu ofisi hiyo ya utafiti na kazi ya uvuvi katika Pwani. Hatusemi kwamba ni wanapwani tu ndio wanaweza kufanya uvuvi; tunajua kwamba wale walio katika Ziwa la Victoria pia wanafanya uvuvi. Lakini haifai kwa msaada ambao malengo yake yalikuwa ni kaunti za Pwani urudishwe na kupelekwa katika ofisi za Nairobi. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus