6 Jul 2021 in Senate:
Sen. (Dr.) Zani, proceed.
view
6 Jul 2021 in Senate:
Proceed, Sen. (Prof.) Ongeri.
view
18 May 2021 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I was going to contribute to what he had---
view
18 May 2021 in Senate:
Have you allowed us to contribute?
view
18 May 2021 in Senate:
Hoja ya nidhamu kutoka kwa Sen. Madzayo.
view
18 May 2021 in Senate:
Hiyo haikuwa hoja ya nidhamu. Ilikuwa ni kama kumpongeza Sen. Cheruiyot. Ni vizuri tumpongeze Sen. Cheruiyot. Amejaribu sana. Karibu, Sen. Sakaja.
view
18 May 2021 in Senate:
Lakini umesahau maombi. Aliomba kwamba katika siku za usoni anaomba kwamba atakuwa rais wa taifa hili. Kwa hivyo, umuombee na umuunge mkono.
view
18 May 2021 in Senate:
Sen. Cherargei, do you have an intervention?
view
18 May 2021 in Senate:
Tuna Hoja nyingine kutoka kwa Sen. Wetangula.
view
18 May 2021 in Senate:
Sen. (Dr.) Musuruve, labda ungependa kufafanua kwa njia ambayo inaonyesha kwamba Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameteuliwa kwa kuwa na ujasiri na kuwa anaweza kufanya kazi hiyo.
view