29 Nov 2024 in National Assembly:
(Matuga, ANC) : Asante sana, Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia hii fursa. Langu kwanza ni kumpongeza Mhe. Mwadime, aliyekuwa Mbunge wa Mwatate, kwa kuanzisha Mswada huu. Wajua sasa hivi anaitwa His Excellency Governor wa Taita Taveta. Kwa hivyo, nampatia pongezi. Pili, nampongeza Mhe. Daktari Makali Mulu kwa kuuregesha Mswada huu muhimu. Nahuzunika na wale ambao walitoa nguvu na maarifa yao, na uaminifu wao kwa hii Serikali bila kuiba. Mswada huu siuangalii tu kama utakaoboresha maisha, bali pia kama utakaosaidia kupunguza jinamizi la wizi katika Serikali. Wafanyikazi wengi si Wabunge tu bali hata wale walio kule nje, wakati wajuapo kuwa ...
view
29 Nov 2024 in National Assembly:
The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
29 Nov 2024 in National Assembly:
Jambo ambalo pia ni muhimu katika huu Mswada ni suala la kuwa kwa mara ya kwanza, itatambulika kwamba kuna uwezekano wa mwanamke kuwa Mbunge. Akiwa hai, ni wazi kuwa mama huyo ataishi raha mustarehe na anajua anavyofanya. Endapo mama huyo atatuacha – na hilo ni jambo la kawaida kwa sababu kama kuna uhakika wowote maishani ni kuuacha ulimwengu huu – basi yule bwana aliyekuwa anaishi naye pia anufaike na yale marupurupu ambayo kama ingekuwa ni mume ameaga dunia na kumuacha mkewe, angeweza kunufaika nayo. Kwa hivyo, Mswada huu ni muhimu na ninauunga mkono kwa dhati. Ahsante, Mheshimiwa Spika wa Muda ...
view
7 Jun 2022 in National Assembly:
Thank you. I want to speak to the report of the Public Investments Committee, which is yet to be moved. Thank you.
view
10 Nov 2021 in National Assembly:
Asante sana Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii ili nichangie Mshwada huu wa pesa za wanaostaafu. Ni kawaida, na huwa ni furaha wakati mtu ameweza kufanya kazi mpaka akastaafu. Maanake ni katikati huwa kuna changamoto nyingi sana. Lakini, wakati mtu ameweza kufanya kazi, kwa dhaatima na heshima na familia yake mpaka akastaafu, kwanza, ni kumshukuru Mwenyezi Mungu. Lakini, changamoto inayokuja ya kuwa hajui ataanzia wapi, ni jambo la kuhuzunisha na ni linachangia katika maswala ya ufisadi. Na ndio maana naunga mkono Mshwada huu ikiwa mimi ni mmoja wa wale huwa nakemea sana swala la ufisadi na kuona ni ...
view
10 Nov 2021 in National Assembly:
Mtu akifanya kazi anapokea mshahara wake wa halali lakini anajua kwamba atastaafu na inamaanisha kuwa hataweza kupata tena ule mshahara. Hataweza kupata ile ruzuku yake. Inamaanisha aanze kufikiria njia mbadala ya vile ataweza ishi atakapostaafu. Kama tunavyojua, njia mbadala mara nyinyi ukiwa kazini na unapenda kazi yako, basi, watu husema kuwa mtu hula pale pale anapofanyia kazi. Lakini, sio kukula tu, na ndio maana watu wanaanza kufikiria ni vipi wataweza kupora mali, waweza kujijenga mbali na lile pato lao la kawaida. Hii sio siri maana waajiri wa Serikali wanajua. Kwa hivyo, kuwapatia wafanyikazi njia ya kuwa na uhakika wa kuwa ...
view
10 Nov 2021 in National Assembly:
Nikiongezea, katika hii idara ya kulipa pensheni, ingawa sio lazima iwe kwa sharia, ningeomba pia wapatiwe sindikizi ya kuona kuwa ofisi hizi zinasambazwa mashinani. Hii ni kwa sababu changamoto iliyo ni kwamba yeyote ambaye atahitaji kulipwa marupurupu yake ni lazima aje Nairobi. Ile gharama ya kuja Nairobi kwa mtu ambaye alistaafu ni kuu. Ukweli ni kwamba wapo ambao mwenyezi Mungu amewajalia kustaafu wakati mshahara wao ulikuwa chini ya Kshu10,000. Sasa hivi, umepanda hadi ni zaidi ya Ksh100,000. Ikiwa wakati ule alipostaafu mshahara wake ulikuwa ni chini ya Ksh10,000, inamaanisha kuwa pensheni yake haifiki Ksh2,000. Lakini pia yeye analazimika kusafiri kuja ...
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
Thank you, Hon. Deputy Speaker. I rise to ask Question 364 of 2021 to the Cabinet Secretary for Education:- (i) What measures has the Ministry put in place to ensure smooth implementation of the Competency Based Curriculum (CBC) in all schools? The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
(ii) Could the Cabinet Secretary confirm whether all stakeholders were involved in the development of the new curriculum and its rollout? (iii) Could the Cabinet Secretary provide a list of all secondary school teachers undergoing training on the new curriculum across the country, and explain how the training is being rolled-out, particularly in Matuga Constituency? (iv) Could the Cabinet Secretary provide the number of infrastructure projects such as workshops, laboratories and sports fields that the government is putting up, if any, to ensure the success of CBC across the country and in particular in Matuga Constituency? (v) Could the Cabinet ...
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
Thank you, Hon. Deputy Speaker. I rise to ask Question 364 of 2021 to the Cabinet Secretary for Education: (i) What measures has the Ministry put in place to ensure smooth implementation of the Competency Based Curriculum (CBC) in all schools? (ii) Could the Cabinet Secretary confirm whether all stakeholders were involved in the development of the new curriculum and its rollout? (iii) Could the Cabinet Secretary provide a list of all secondary school teachers undergoing training on the new curriculum across the country, and explain how the training is being rolled-out, particularly in Matuga Constituency? The electronic version of ...
view