Kenneth Lusaka

Parties & Coalitions

Kenneth Lusaka

Former Governor, Bungoma County; currently Senate Speaker

All parliamentary appearances

Entries 11 to 22 of 22.

  • 5 May 2020 in National Assembly: Mheshimiwa Mtukufu Rais, Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wa Bunge la Taifa, Mheshimiwa Justin Muturi na Waheshimiwa Wabunge. view
  • 5 May 2020 in National Assembly: Kuambatana na Kanuni ya Kudumu 25(1) ya Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa na Kanuni ya Kudumu 26 (2) ya Kanuni za Kudumu za Seneti zinazohusu hotuba za Wageni Mashuhuri, Maspika wa Bunge walipokea ombi la kumruhusu Mheshimiwa Mtukufu Rais Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye yuko hapa katika ziara rasmi ya kitaifa nchini Kenya, kuhutubia Kikao cha pamoja cha Bunge. view
  • 5 May 2020 in National Assembly: Waheshimiwa Wabunge, Maspika wa Bunge, wakiitikia ombi hilo, wameitisha Kikao hiki cha Pamoja cha Bunge. Nilitoa Arifa ya Kikao hiki cha pamoja kupitia Gazeti Rasmi la Serikali, Arifa Nambari 4200 ya tarehe 3 Mei, 2021 kwa Waheshimiwa Maseneta. view
  • 5 May 2020 in National Assembly: Hivyo basi, Waheshimiwa Wabunge, Kikao hiki maalum kimeitishwa kwa njia inayofaa. view
  • 5 May 2020 in National Assembly: Asanteni! view
  • 5 May 2020 in National Assembly: Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Spika wa Bunge la Taifa, Maseneta na Wabunge wa Bunge la Taifa, ni wakati sasa wa kuhairisha kikao cha Seneti hadi kesho, Alhamisi, tahere sita, Mei, mwaka wa 2021, saa nne asubuhi katika Ukumbi wa Seneti. Asanteni sana. view
  • 29 May 2019 in Senate: Hon. Senators I have a Communication. As you may recall, in concurrence with the Speaker of the National Assembly on the constitution of a Mediation Committee, in accordance with Articles 112(1) (a), (2) (b) and 113 of the Constitution, I appointed the following Senators to serve in the Mediation Committee on the Kenya Roads Bill, (National Assembly Bill No. 47 of 2017). The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 29 May 2019 in Senate: Order, Senate Majority Leader! (1) Sen. Fatuma Dullo, CBS, MP. (2) Sen. Paul Wamatangi, MP. (3) Sen. Samson Cherargei, MP. (4) Sen. Enock Wambua, MP. (5) Sen. (Dr.) Ochillo-Ayacko, MP. Hon. Senators, upon further consultation with the leadership of the Majority and Minority parties, I have appointed Sen. Naomi Shiyonga, MP; Sen. Millicent Omanga, MP; and Sen. Kibiru Charles Reubenson, MP; to the Mediation Committee on the Kenya Roads Bills (National Assembly Bill No.47 of 2017), to replace Sen. Ochillo-Ayacko, MP; Sen. Fatuma Dullo, MP; and Sen. Samson Cherargei, MP, respectively. view
  • 29 May 2019 in Senate: I urge the Mediation Committee to move with speed and deal with this important assignment. I thank you. view
  • 29 May 2019 in Senate: We shall now go to Order Nos.8 and 9 because we need to vote. I direct that the Division Bell be rung for two minutes. view
  • 29 May 2019 in Senate: I now direct that the doors be closed and the Bar drawn. view
  • 29 May 2019 in Senate: You can log in and start voting. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus