Kibwana Kivutha

Born

13th June 1954

Post

30521, Kenya

Link

Facebook

Telephone

0721353057

Telephone

+254-20-221291

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 258.

  • 26 Sep 2023 in National Assembly: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. I stand to support the Bill although I know it is not perfect. I am sure amendments will be done later, but there are other good things in it. The Bill will improve efficiency by increasing the autonomy of the facilities to make decisions and manage their own finances. It will also ensure that all funds generated by the facilities are ploughed back to support facilities operations and services. I imagine times when it gives an opportunity to hospitals where, for example, power has gone off and you have to use a generator and ... view
  • 20 Sep 2023 in Senate: Asante Bw. Spika. Naomba kuchangia Hoja hii kuhusu uvutaji wa e-cigarrette ama shisha. Hili ni janga kubwa kwa vijana wetu. Wamejiingiza kwenye uvutaji wa sigara. Wanapoanza kuvuta e-cigarrette, vape na Shisha, wanajiingiza kwenye mambo mengi zaidi. Hizi sigara zimeongezewa vitu vingine kama bangi za kuwapoteza watoto wetu. Hili ni tatizo kubwa kwa afya kwani zinasababisha matatizo ya moyo, fungus kwenye kifua na pia kifua kikuu. Wanawake waja wazito, wanazaa watoto wenye kilo kidogo. Pia uvutaji unasababisha fungus ya Ngozi. Watoto wetu pia wanakuwa na addiction. Uraibu wa nicotine unasababisha vijana kutumia pombe na muguka. Ni kweli kuwa kama wazazi tumelegeza ... view
  • 20 Sep 2023 in Senate: ni wale ambao bwana ameoa bibi wengi na kuwaacha. Watafanya nini? Si kweli, wamama hawa wanatekeleza majukumu yao na watoto wao wana nidhamu kuliko watoto walio na wazazi wawili. Nakataa hili jambo kwani utapata wazazi hawa wameshikilia nyumba zao. Namshukuru Sen. Mumma kwa kuleta Hoja hii. Nakubaliana na Sen. Tabitha Mutinda kuwa iletwe kama Mswada ili tuweze kuizungumzia Zaidi. Hii ni Challenge kubwa kwa wazazi. Tunafaa kushikilia Watoto wetu wasiingie kwenye shimo la kuvuta view
  • 20 Sep 2023 in Senate: Kuna saratani ya kifua ambayo inasababishwa na uvutaji wa hizi sigara. Hili ni janga kubwa ambayo tunafaa kuangalia. Bw. Spika, ni hayo tu kwa sasa, kwani mada hii ni pana sana. Naunga mkono Hoja hii iliyofadhiliwa na Sen. Mumma. Asante. view
  • 19 Sep 2023 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda. Langu ni kutoa pole kwa watu wa Kaunti ya Lamu waliofiwa. Ni masikitiko makubwa kupoteza ndugu zetu na hao ndugu, wako na familia. Wako na watoto, ni baba, kaka na pia ndugu za watu. Tunaomba Serikali ifanye vyovyote vile kusuluhisha na kuweka usalama upande huo, ili maisha na kazi za watu wetu wengine kama wavuvi ziendelee. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 19 Sep 2023 in Senate: Lamu inajulikana kama mji wa tourism. Tunaomba Serikali iingilie kati ili watu wawe huru kufanya kazi zao bila uoga au tashwishi. Lakini ninaomba tu Wakenya na Serikali isilete ukabila, siasa au jambo lolote la kuvuruga zaidi. Wale wanajeshi wetu waliopelekwa Somalia warudi Kenya ili waongoze katika kutunza usalama. Tuangalie nyumbani kwanza kwa sababu mcheza kwao hutuzwa. Usalama kwanza uanze kwenu. Kama kwenu hakuna usalama, ya nini kulinda usalama katika nchi nyingine? Tunaomba Serikali ilete usalama wote Kenya kwanza, tuwe na nafasi, watu wote wawe huru kufanya kazi zao, halafu ndio tupeane usalama upande mwingine. Bi Spika wa Muda, ninatoa pole ... view
  • 31 Aug 2023 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I thought we were through with the view
  • 31 Aug 2023 in Senate: and mawe discussions and are now on climate change. I stand to support the Climate Change (Amendment) Bill. We should be the champion having had our sister and mother, Prof. Wangari Maathai set the pace. Parliamentarians require capacity building on this one. I urge the Government to unlock The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 31 Aug 2023 in Senate: some bureaucracy, so that at least we can get the funding and some of us can be trained on climate change. The carbon credits have been discussed at length. We need to benefit from that. The West are benefitting from our own countries with the carbon credits, so why would we not do that? In exchange of barter trade, we should get many other benefits. They should improve our roads, the infrastructure and many other projects out of carbon credits. Mr. Deputy Speaker, Sir, I strongly feel that we should also discuss about the restoration and conservation of lands, wetlands ... view
  • 8 Aug 2023 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I rise, pursuant to Standing Order No. 53(1), to seek a Statement from the Standing Committee on Labour and Social Welfare on alleged discriminatory employment of doctors and medical staff in some counties in Kenya. In the Statement, the Committee should- (1) Report on claims of unequal pay for work of equal value, particularly in Nakuru, Busia, Kirinyaga and Garissa counties under the Kenyatta National Hospital (KNH), stating the rationale, if any, behind the decision; (2) Address claims on the use of restrictive contracts in Kirinyaga County, which hinder career progression, stating measures put in place by ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus