All parliamentary appearances
Entries 1531 to 1540 of 4248.
-
24 Mar 2022 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, namshukuru kakangu, Seneta kutoka Kaunti ya Kitui kwa kunikosoa. Ni jambo ambalo, kwa kweli kabisa hili ni Bunge la Seneti ambalo ni senior au una mamlaka kushinda Bunge la Kitaifa.
view
-
24 Mar 2022 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, Kiswahili ni kigumu sana. Naomba Mungu, kufikie wakati pia hii nakala ya Bunge itabadilishwa iwekwe kwa lugha ya Kimaasai, ili sisi wote tuweze kuzungumza.
view
-
24 Mar 2022 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, bibilia imeandikwa katika lugha zote za dunia. Bunge la Taifa au Bunge la Seneti ni mahali ambapo viongozi wanakuja kushauriana ili waweze kusaidia kule walikotoka. Katika Kaunti ya Narok, kuna watu wengi ambao hawawezi kuzungumza lugha ya Kiswahili. Hata mimi najaribu sana, kwa sababu nimeketi karibu na ndugu yangu ambaye alibahatika kuzaliwa katika kaunti ambayo watu huzungumza katika lugha ya Kiswahili sana. Ni vizuri tuendelee kuzingatia lugha zetu tulizonazo hapa Kenya na pia utamaduni wetu. Ni lazima pia sisi --- how do you say ‘to be proud of?’
view
-
24 Mar 2022 in Senate:
Tujivunie kuwa Wakenya; tujivunie kuwa wamaasai. Hii ni kwa sababu Bw. Spika wa Muda umesema lugha ya Uarabuni.
view
-
24 Mar 2022 in Senate:
Sasa hiyo ni nini tena? Ningependa kuona ya kwamba, Kama vile Quran pengine imeandikwa kwa lugha nyingi au pengine Biblia imeandikiwa kwa lugha zote, ni vizuri pia watu wale ambao wako nyumbani ambao wangependa kuwa viongozi waweze pia kujua hizi Kanuni Za Kudumu za Seneti zinasema nini. Hayo ni mambo ambayo watu wengi hawajui. Ninawashukuru sana nyinyi ambao mliketi, mkaweka akili zenu zote hapo na kuweza kutafsiri kutoka lugha ya Kizungu hadi lugha ya Kiswahili. Siku moja tutatafsiri kwa lugha ya Kikamba, Kipokot, Kigiriama na Kiborana, lakini Kigiriama ni kama Kiswahili tu. Haya mambo ambayo najaribu sana kutafuta matamshi ambayo ...
view
-
24 Mar 2022 in Senate:
Mr. Temporary, Speaker, Sir, let me begin by thanking the two distinguished Senators who have spoken very passionately on this matter. This is another great opportunity for us, as the Senate, to stand firm with the people of Kenya. When I was elected as the Senator for Narok County, I knew one thing was very clear. First, let me say that I rise to support the Statement by the Chairperson of the Committee on Finance and Budget, Sen. Kibiru, who is a principled man, despite what you read out there. This gives me an opportunity to explain to the people ...
view
-
24 Mar 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
-
24 Mar 2022 in Senate:
there. There is also an additional Kshs23,676,000 from the Sweden Agricultural Development Grant to support the agricultural sector. Finally, there was about Kshs50 million grant, which could have been given to Narok County for them to support the informal sector. That money has not gone to Narok County. The only money that has gone to Narok is the shareable revenue and that money actually never goes to Narok on time. We have lamented. The county governor has appeared before the County Public Accounts and Investment Committee (CPAIC) and said that he has not received this money from the Exchequer. The ...
view
-
24 Mar 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
-
24 Mar 2022 in Senate:
In other democracies, if money is not released by the Exchequer by the end of the financial year, that money goes back. This is money that I believe, and I stand corrected, on this that we are actually already paying interest on them. Therefore, we are paying interest on loans and that money is not helping citizens of this Republic. I am a firm believer that the only way you can appreciate your work is when you see results. I want the people of Narok to know that there is a lot of money, which is supposed to be sent ...
view