All parliamentary appearances
Entries 2631 to 2640 of 4088.
-
4 Dec 2019 in Senate:
Bw. Spika, nakushukuru kwa kunipa nafasi hii ili pia mimi niweze kukuunga mkono na rafiki yangu, Sen. Madzayo, katika kuwakaribisha Delegation kutoka Kilifi. Yangu yatakuwa ni machache. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
-
4 Dec 2019 in Senate:
Ningependa kuzingatia mambo mawili; kwanza, ni kuwahakikishia kwamba kweli, mko na shujaa hapa, ambaye anawatetea watu wa Kilifi. Yeye ni rafiki yangu ambaye tunaketi pamoja, Sen. Madzayo.
view
-
4 Dec 2019 in Senate:
La pili ni kwamba, maneno ya mazingira ni maneno ya muhimu sana. Ningependa kuwasihi muyatilie maanani, kwanza ikiambatana na ule Mto wa Sabaki. Mara kwa mara, watu wanavamia ule mto na kutoa mchanga wa kujengea nyumba na kuharibu mazingira. Ninapajua pale kwa sababu niko na shamba ndogo kule. Kwa hivyo, lazima mtilie maanani na mpitishe sheria ambazo zitahifadhi mazingira yetu.
view
-
4 Dec 2019 in Senate:
Ni vizuri kwamba mmekuja hapa ili muweze kuchambua Kanuni na maadili ya Seneti. Kwa hivyo, mkirudi Kilifi, mtawaelezea watu yale mmeona Kamati za Seneti zikifanya. Mambo ambayo inapitishwa na Kamati iko na nguvu katika Katiba ya Kenya.
view
-
4 Dec 2019 in Senate:
Ninawasihi mchambue Ripoti ya Building Bridges Initiative (BBI) na mjiulize kama watu wa Kilifi, ni mambo gani ambayo yamewakera kwa muda mrefu na mko na suluhu gani. Tumeona ya kwamba, kuna shida ndio maaana tunasema hiyo Ripoti haikutufurahisha. Kwa hivyo, ni lazima tutatoa maoni yetu ikipeleke Kenya mbele.
view
-
4 Dec 2019 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I rise to support the Statement raised by Sen. Cherargei. I would like to request the Chairperson of the Committee on Roads and Transportation that while he is getting responses to the Statement raised by Sen. Cherargei, to include the road from Mai Mahiu to Narok. The contractor who has been given that road has decided to reduce the width of the road. When you are driving on that road, if you have a big truck, another truck is approaching and for some reason you lose control, you will end up causing a very bad accident. The ...
view
-
4 Dec 2019 in Senate:
I support and I hope that the Chairpesons have noted that.
view
-
4 Dec 2019 in Senate:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
-
4 Dec 2019 in Senate:
Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir, for your lengthy ruling which was 1 hour and 37 minutes. I will take up the role of making sure that I re-draft the Motion. One of the main reasons why I brought that Motion is because of what is indicated in our prayers. When you begin the session, you normally say that “We seek guidance to treat and consider all matters that shall come under our deliberation in so just and faithful a manner so as to advance the peace, prosperity and welfare of our country and of those interests you have committed ...
view
-
4 Dec 2019 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I thank you for protecting me. I would like to reiterate that this Motion was brought in the spirit of being objective. I have no personal interests or reasons to believe that certain things must be done. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view