All parliamentary appearances
Entries 301 to 310 of 4076.
-
24 Apr 2024 in Senate:
If we amend it here, it will help us. I have a problem with bureaucracies of these boards. Leave the farmer alone. I do not even know why we are controlling this crop so much. Allow farmers to grow cane and sell it wherever they want to. The problem is when---
view
-
24 Apr 2024 in Senate:
If we amend it here, it will help us. I have a problem with bureaucracies of these boards. Leave the farmer alone. I do not even know why we are controlling this crop so much. Allow farmers to grow cane and sell it wherever they want to. The problem is when---
view
-
23 Apr 2024 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, nakushukuru kwa kunipa nafasi hii ili nichangie Hoja hii itakayotuwezesha kuzingatia umuhimu wa talanta ya vijana wetu, ambao wengi wao katika Kaunti ya Mombasa, hujipata wameenda baharini. Kama kungekuwa na Stadium ambayo wangeenda kukimbia, pengine tungepata wakimbiaji wengine kutoka Mombasa. Wakati Mhe. Faki aliponiuliza nichangie Hoja hii, kuna jambo fulani nililolifikiria. Ni kweli kabisa kwamba tuna kaunti 47 na tuko na talanta nyingi katika Kenya hii. Je, wakati mwengine inatubidi tuangalie kaunti zote za Kenya tuone ni gani haina hivi viwanja vya michezo? Bw, Spika wa Muda, utaniwia radhi kwa sababu Kiswahili ni lugha geni kwangu, ...
view
-
23 Apr 2024 in Senate:
Niko sawa. Nashukuru sana. Bw. Spika wa Muda, tunajua ya kwamba, mara kwa mara, Kenya huwa inaenda kutafuta nafasi ya kucheza michezo ya kiafrika. Watu husema viwanja tulivyo navyo
view
-
23 Apr 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
-
23 Apr 2024 in Senate:
Kenya hii ni vichache. Wengi husema viwanja vyote viko Nairobi na wengine husema pengine kuna kimoja Eldoret na Kisumu. Hoja iliyoletwa na mwenzetu, inatakiwa sote tuiingalie kwa manufaa ya biashara, “ economic impact ”, kama vile wazungu wanavyosema. Tukiwa na kiwanja kikubwa, ambacho michezo ile ya kimataifa inaweza kufanyika---
view
-
23 Apr 2024 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, tulikubaliana na Kiongozi wa Walio Wachache kwamba, nikiwa nazungumza hapa ananisikiliza ili nikipotea ananisaidia. Lakini sasa ameanza kuzungumza na Sen. Wambua. Hii ni shida kubwa sana. Naunga mkono Hoja hii ya kuweka fedha za kujenga stadia . Lakini jambo ambalo lazima tulitilie maanani ni, je, wakati tumetenga fedha kadhaa, jukumu la kaunti litakuwa lipi, ili kuhakikisha hizi stadia hazitakuwa zile watu wanasema, “ white elephantproject?”. Ni lazima tutenga fedha za kujenga kiwanja, isikuwe “ndovu mweupe” ama ile nyumba kubwa ambayo imejengwa tu. Naunga mkono tutafute pesa za kujenga stadia, lakini tukiweka hizo pesa, ni lazima kila ...
view
-
23 Apr 2024 in Senate:
. Mradi ambao ni wa bilioni mbili, unaishia kuhitaji bilioni sita. Hoja hii iliyoletwa na Sen. Faki inafaa kuhakikisha kwamba hakuna ufisadi. Seneti ikishapitisha zile pesa ambazo zitatengwa kujengea ile stadium katika Kaunti ya Mombasa, ule mda uliodhamiriwa kuhakikisha ya kwamba project hiyo imemalizika, umetiliwa maanani.
view
-
23 Apr 2024 in Senate:
Bw, Spika wa Muda, tafadhali---
view
-
23 Apr 2024 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, nilikuwa nimeandika taarifa ndogo iweze kunisaidia kuchangia kwa Hoja hii, lakini kuna mambo utaniruhusu kuongea kwa lugha ya Kiingereza ndio iweze kueleweka. Mtanieleza inafaa kuwa nini kwa lugha ya Kiswahili. Wakati wowote tunapotenga pesa za Wakenya, public funds, ni lazima tuzingatie vitu viwili. Wazungu wanaviita, cost benefit analysis na long-term sustainability. Hilo ndilo jambo nililolizungumzia, kwamba, kama Maseneta wa kaunti zote 47 ni lazima tujiulize zile pesa tunazotenga za kujenga kama hospitali---Tusipate shida tena kama
view