All parliamentary appearances
Entries 481 to 490 of 4248.
-
23 Apr 2024 in Senate:
Bw, Spika wa Muda, tafadhali---
view
-
23 Apr 2024 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, nilikuwa nimeandika taarifa ndogo iweze kunisaidia kuchangia kwa Hoja hii, lakini kuna mambo utaniruhusu kuongea kwa lugha ya Kiingereza ndio iweze kueleweka. Mtanieleza inafaa kuwa nini kwa lugha ya Kiswahili. Wakati wowote tunapotenga pesa za Wakenya, public funds, ni lazima tuzingatie vitu viwili. Wazungu wanaviita, cost benefit analysis na long-term sustainability. Hilo ndilo jambo nililolizungumzia, kwamba, kama Maseneta wa kaunti zote 47 ni lazima tujiulize zile pesa tunazotenga za kujenga kama hospitali---Tusipate shida tena kama
view
-
23 Apr 2024 in Senate:
. Ni vizuri Kiranja wa walio Wengi yuko hapa. Kuna hospitali iliyojengwa na haijawahi kamilika. Imekuwa vile mwenzangu kutoka Nyandarua anaita, “ndovu mweupe” mkubwa, “ White Elephant Project ”.
view
-
23 Apr 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
-
23 Apr 2024 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, mngenikubalia niongee Kiingereza kwa hii Hoja, ningechangia mpaka mjue ukweli ya kwamba ni lazima tufanye kazi tukiketi hapa. Tujiulize kama kiwanja kinachojengwa kitadumu na kama zile pesa tunazotenga zimefanyiwa utafiti ili kujuwa kama zinatosha kwa uchumi wa sasa. Gunia la simiti sasa ni shilingi mia tisa. Mbali na zile pesa tunazotenga ili tujenge viwanja, ni vizuri pia tutenge kiwango fulani ili tuhifadhi viwanja vile. Nakumbuka wakati ambao County Governments zipobuniwa, kuna kaunti ambazo hazikuwa na makao makuu, ambazo Seneti hii ilitenga pesa ndio zijengwe. Ukiangalia hizo zote, ni chache sana zilizomalizwa. Kuna zengine ambazo bado hizo ...
view
-
28 Mar 2024 in Senate:
Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir. This is a Bill that requires people to wear their spectacles in order to understand its clear objectives. If I was to be asked, this is a Bill which no Member should stand to support or oppose, before they get an opportunity to read the report on the Committee on Justice, Legal Affairs and Human Rights (JLAC). I have attempted to understand the gist of this Bill and it sounds to me like one of those Bills imposed to this country by the World Bank. One of the biggest challenges I have in absorbing ...
view
-
28 Mar 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
-
28 Mar 2024 in Senate:
are certain sectors of this public office entity that have been left out. It tries to focus on issues of transparency. It is trying to inculcate a culture of transparency. Mr. Temporary Speaker, Sir, the next thing that this Bill talks about is the issue of penalties, like what happens. I am trying to demystify the gist of the entire Bill because it talks about certain penalties and whereas there are penalties that have not been spelled out, it says if you are a person, you will be charged Kshs4 million with 10 years imprisonment and Kshs10 million if it ...
view
-
28 Mar 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
-
28 Mar 2024 in Senate:
back to you because you made a complaint? You are a consumer of this Bill, you have complained to the commission, how does the commission write back to you? We need to be able to expand and amend that section because I know this is going to pass. There is a provision which I think is very dangerous and all of us must really pay attention to it. Still on No.7, it says “delegate to another person or body by notice in the Gazette, any of its powers or functions under this act in respect to classes of public officers ...
view