All parliamentary appearances
Entries 2611 to 2620 of 6328.
-
23 Nov 2023 in National Assembly:
Thank you. The next chance will go to the Member for Turbo, Hon. Janet Sitienei.
view
-
23 Nov 2023 in National Assembly:
Member for Saku, Hon. Raso.
view
-
23 Nov 2023 in National Assembly:
Next to speak is the Member for Bonchari, Hon. Charles Onchoke.
view
-
23 Nov 2023 in National Assembly:
Member for Limuru, Hon. Kiragu.
view
-
23 Nov 2023 in National Assembly:
Thank you. Hon. Next is Hon. Mayaka.
view
-
23 Nov 2023 in National Assembly:
Thank you. Next to speak is the Member for Matuga, Hon. Kassim Tandaza.
view
-
23 Nov 2023 in National Assembly:
Asante sana. Sasa ninampa nafasi Mbunge wa Emurua Dikirr, Mhe. Johana Ng’eno. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
23 Nov 2023 in National Assembly:
Mheshimiwa Kassim, uko na hoja ya nidhamu?
view
-
23 Nov 2023 in National Assembly:
Mheshimiwa Kassim, hata wewe ulipoanza hoja yako ya nidhamu umesema Madam Speaker . Ni vizuri turekebishe na usome Kanuni ya Kudumu ya Bunge 77, kipengee cha pili. Inasema ya kuwa ukianza kwa Kiingereza unamaliza kwa Kiingereza. Ukianza kwa Kiswahili, unamaliza kwa Kiswahili. Ukianza kwa lugha ya ishara unamaliza kwa lugha ya ishara. Kwa hivyo, tuwache kuchanganya lugha na tufanye kwa kufuata kanuni zetu. Mheshimiwa Ng’eno, ni Kiswahili ama Kizungu?
view
-
23 Nov 2023 in National Assembly:
Mheshimiwa Ng’eno, kila nchi inazo sheria zake. Sisi tuko na kanuni zetu na ukisoma utaona vile ilivyo. Ni vizuri ufuate Kanuni zetu za Kudumu ukianza na Kiswahili, sio Sheng’. Unaweza fanya utohozi lakini pia lazima uweze kuweka nukuu ama zile alama za kunukuu kwenye Bunge. Ni vizuri tufanye vile inafaa. Hii nchi ni tofauti na Tanzania.
view