Martha Wangari

Parties & Coalitions

  • Not a member of any parties or coalitions

Email

senatormartha@gmail.com

Telephone

0707602688

Link

@HonWangari on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 2991 to 3000 of 6328.

  • 7 Nov 2023 in National Assembly: Mhe. Osoro, tafadhali. view
  • 7 Nov 2023 in National Assembly: Mhe. Osoro, hakuna Hoja ya kufahamu katika Kanuni za Kudumu. Haiwezekani. Kama unatumia lugha ya Kiswahili, zungumza katika lugha hiyo. Kwa sasa, mwache Mbunge wa Kirinyaga ajikakamue na uchanganuzi wake wa Kiswahili. Tukiangalia katika Kamusi, tunajua maana ya maneno “swala The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

  • 7 Nov 2023 in National Assembly: nyeti”. Lakini kwa wale ambao fikira zao ziko mbali kama Mhe. Osoro, wanafikiria kuwa neno “nyeti” linahusu sehemu za mwili tu. Hapana. Hatuko hapo. Mwache Mhe. Njeri amalize mchango wake. Mhe. Njeri, usiangalie hawa Wabunge. Jadili na Mhe. Spika wa Muda. view

  • 7 Nov 2023 in National Assembly: Unaweza ukanukuu. view

  • 7 Nov 2023 in National Assembly: Ashante, Mheshimiwa wa Kirinyaga. Ninafikiri motisha leo imetoka Molo ikatembea mpaka Kirinyaga. Nimemuona Mhe. Harrison Kombe na Mhe. Fatuma wakikubaliana na wewe kwa sababu uko sawa. Ni vizuri tukijizoesha kuongea lugha hii. Hii ni lugha yetu. Duniani, watu ambao wanakizungumza Kiswahili ni zaidi ya milioni mia mbili. Inafaa tufike pale ambapo tutakienzi na kukizungumza Kiswahili. Nafasi hii nitampa Mbunge wa Nandi, Mhe. Bernard Kitur. view

  • 7 Nov 2023 in National Assembly: Hon. Member for Nandi Hills, do not be distracted. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus