25 Jul 2018 in National Assembly:
Kwanza, tunavyojua, mkorosho ukilinganishwa na mimea mingine ambayo imepandwa katika sehemu nyingine za nchi kama vile kahawa ama majani chai utaona kwamba mkorosho ni rahisi sana kukuza. Ile mbolea ambayo inatakikana ili kukuza kahawa au majani chai si ile ambayo inahitajika kukuza mkorosho. Kwa hivyo, kukuza mkorosho huwa ni rahisi zaidi. Hii ndio imefanya mkaazi wa Kilifi kuhakikisha kwamba anautunza kwa vile unaleta mazao kwa urahisi. Mkorosho umekuwa ukichangia sana maisha mema kwa wakazi wa Kilifi na Pwani. Saa hii, kwa sababu kiwanda hiki cha korosho ama sekta hii ya korosho imefifia ndani ya Kilifi na Pwani, wananchi wengi wanauza ...
view
25 Jul 2018 in National Assembly:
Mapato ya mkorosho yatachangia sana. Mkazi wa Kilifi na Pwani kwa jumla ataweza kuweka chakula juu ya meza. Tutahakikisha kuwa hakuna wakati hata mmoja tutahangaika na kuomba serikali kwamba tunataka chakula cha msaada. Hii ni kwa sababu njaa inapokuwa nchini utaona ni Ganze, Kilifi ama Magarini. Ni kwa sababu serikali haijawawezesha wakaazi wa Pwani, Kilifi, Magarini au Ganze, sehemu ambazo ni rahisi kabisa ambazo tukizifufua tutahakikisha kwamba wakazi wanapata mapato ya ziada.
view
25 Jul 2018 in National Assembly:
Tanzania saa hii imebobea upande wa ukuzaji korosho. Ni nchi ambayo hapo nyuma ilikuwa inakuza korosho kwa uchache. Hata hivyo, kwa sababu Kenya imelegea katika ile wizara husika ya ukulima, haijaona kwamba ni muhimu kupatia nafasi mkorosho. Ndio unaona saa hii Tanzania imetupita lakini kama wizara ya ukulima itaweka mkazo katika sekta hii ama katika ukulima wa mkorosho, mimi ninaamini kwamba zaidi ya bilioni moja itatoka kutoka sekta hii.
view
25 Jul 2018 in National Assembly:
Kwa hayo machache, ninaunga mkono Hoja hii.
view
5 Jun 2018 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me this opportunity to contribute to this important debate. First, I remember the President reminded us of the Constitution. He said it is a tool which guides us to free, fair and inclusive Kenya and all this is not happening. This House has been creating laws that have come with departments and commissions knowing that such commissions or departments will be able to address challenges that are facing Kenyans. As we speak, corruption talk has been going on in Kenya. We talk of money being lost but there is big corruption that ...

This House established the National Land Commission (NLC) which looks at the historical land injustices, but this has not been happening. The Commission is not doing enough, especially in the Coast region. It is high time we extended our catch not only to money lost but even to areas where community land is being lost and given to the wrong people. The other thing the President talked about is the issue of food security. I remember the Government initiated a very wonderful project – the Galana Kulalu Irrigation Project – which borders Kilifi and Tana River counties. However, because of ...

For those few remarks, I support.
view
5 Jun 2018 in National Assembly:
For those few remarks, I support.
view