Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 1994.

  • 14 Nov 2024 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I have very good information. view
  • 14 Nov 2024 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. We had our first meeting of the Mediation Committee on Thursday last week. We had a morning session, which was very acrimonious, because the Members of the National Assembly were of the opinion that we could not discuss the Division of Revenue Act (DORA) before the Road Maintenance Levy Fund (RMLF) cases that have been filed in court are withdrawn. We argued for about two hours and adjourned for lunch. When we came back, we were able to agree on a raft of issues that could be considered pending resolution of the mediation. The meeting ... view
  • 14 Nov 2024 in Senate: figure acceptable to the National Assembly. However, they said we could not discuss the issue of quantum before resolving the RMLF case that is in the courts. view
  • 14 Nov 2024 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuunga mkono Mswada wa Uchangishaji Fedha wa 2024. Kwanza nampongeza Kiongozi wa Wengi kwa kuuleta Mswada huu katika Seneti. Ikumbukwe kwamba hapo nyuma kabla ya mzozo tuliokuwa nao katikati ya mwaka huu, masuala ya harambee yalikuwa kama mashindano. Wenzetu walikuwa wanaenda kwa harambee na magunia ya fedha. Wananchi wanaambiwa wahesabu na wanahesabu mpaka inafika shilingi milioni 20 hadi ile hesabu inapotea. Ukifanya utafiti wa tarakimu ambazo mchangishaji yule amewasilisha mapato yake ya kodi kwa Kenya Revenue Authority (KRA) mwisho wa mwaka, hana mapato ya shilinhi milioni 20. Hawezi kuonyesha kodi aliyolipa kutokana na ... view
  • 14 Nov 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 14 Nov 2024 in Senate: Asante, Bw. Spika. Mswada huu unalenga kuleta mfumo wa harambee ambao utasaidia taifa na kaunti zetu katika masuala ya uchangishaji pesa kusaidia miradi mbalimbali ambayo wananchi wanachangisha pesa. Pili, iwapo Mswada huu utakuwa sheria, basi sheria hii itaondoa ama repeal the Public Collections Act, Cap 106 ya sheria zetu za Kenya. Sheria hiyo hailingani na mfumo wa sasa wa ugatuzi katika nchi yetu. Tukiangalia vipengele tofauti vya sheria hii, inaangalia pande zote mbili za Serikali. Kuna harambee za kitaifa ambazo lazima ziandikishwe kupitia kwa Waziri wa Serikali Kuu na kuna harambee za kaunti ambazo zitaandikishwa kupitia kwa county executive wa ... view
  • 14 Nov 2024 in Senate: ili ziweze kuhakikisha kwamba sheria hii inatumika kufanya kazi. Naunga mkono Mswada huu na naomba maseneta wote waunge mkono. view
  • 14 Nov 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 12 Nov 2024 in Senate: Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii ili kuchangia Mswada wa Marekebisho wa Sheria ya Fedha 2023. Najiunga na maseneta wenzagu kukupongeza kwa Mswada huu ambao umekuja kujaribu kuwapa uhuru baraza za kaunti zetu ambazo ziko kwenye minyororo ya magavana wa kaunti zote 47. Nachukua fursa hii pia kutoa rambirambi zangu kwa mwendazake, Bw. Peter Oloo Aringo ambaye alileta Mswada wa kuidhibiti Bunge yani Parliamentary Service Commission (PSC) kwa mara ya kwanza. Alikuwa pia mwenyekiti wa kwanza wa Tume ya Bunge hili. Tume hii imeweza kuipa Bunge ule uhuru ambao hivi sasa kama Maseneta na Wabunge tunafurahia. Mswada huu ... view
  • 12 Nov 2024 in Senate: Mara nyingi wanapotaka kusafiri ni lazima wasubiri pesa zitoke kwenye hazina kuu. Wakitaki pia kufanya miradi yao vile vile ni lazima wasubiri pesa. Hili linachangia pakubwa mara nyingi wao kufungia macho zile dhambi zinazofanywa na Executive katika kaunti hizi. Malamiko mengi katika kaunti ni kuwa Bunge hizo hazifanyi kazi kikamilifu. Hili limesababishwa na ule uoga waliyonao kwamba iwapo wataweza kufanya kazi yao kikamilifu, basi magavana na wengine wengi watakuwa katika shida kubwa ya utekelezaji wa miradi ambayo inafanyika katika kaunti hizo. Jambo lingine nilikuwa nikitaka kugusia ni kuwa kwa sasa, ijapokuwa kuna uwiano, yani mediation unaoendelea kati ya Bunge hili ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus