Morris Dzoro

Parties & Coalitions

Full name

Morris Mwachondo Dzoro

Born

5th December 1950

Post

P.O. Box 87137, Mombasa, Kenya.

Telephone

0733 730665

All parliamentary appearances

Entries 41 to 50 of 66.

  • 23 May 2007 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, I will. view
  • 16 May 2007 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, I beg to reply. (a) I am aware that on 5th March, 2007, a leopard attacked the following people at Chesengem Village, Oldebesi Location, Ndanai Division, who were admitted to Tekwel Mission Hospital for treatment:- (i) Sgt. Samuel Towett; (ii) APC Jonshon Mbaka; (iii) Cpl. Alfred Sieberi; (iv) APC Isahia Ruto; (v) Joel Seroy; (vi) Peter Cheruiyot; (vii) Julius Kosgey; (viii) John Mibei Kiperere; (ix) Laboso Towett Belyon, and (x) Edward Langat. (b) The District Commissioner (DC), Kericho, convened a Wildlife Compensation Committee meeting on 15th May, 2007, and the process of compensation is ongoing. However, according ... view
  • 16 May 2007 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, this matter had to be dealt with at that position, because of the Kenya Wildlife Service (KWS) staff who are on the ground. The process will be dealt with, as per our regulations. view
  • 16 May 2007 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, that is a very good question from my dear friend. But I want to state that I will bring before this hon. House the new Wildlife Policy, and the hon. Members will have a chance to deliberate on quite a number of issues. view
  • 16 May 2007 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, I will bring a Bill. The final stage of it was completed yesterday. It will be brought to the House soon. view
  • 16 May 2007 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, we will take that into consideration with my officers. view
  • 16 May 2007 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, as I said, we are trying our level best. As per yesterday, we had completed all the details about the Bill, because we need, as a Government, to be concerned about the human/wildlife conflict. The Bill will be brought to the House soon. view
  • 3 Apr 2007 in National Assembly: Ahsante sana, Bw. Naibu Spika. Nami ningependa kusema kwamba ninaunga mkono Hoja juu ya Hotuba ya Rais kwa sababu, kufikia sasa, kuna mambo mengi ambayo tumeona yakiendelea. Sasa tuko huru kuzungumza tunavyotaka, na magazeti kuchapisha habari wanazotaka bila wasiwasi. Hali hiyo ya uhuru iko katika hali inayotakikana. Uhuru wa kuabudu uko katika hali ambayo ni ya maana sana katika taifa letu la Kenya. Ni kwa sababu hiyo nchi nyingine zimeweza kujua kwamba demokrasia inadumishwa katika nchi hii. Ningetaka tu kuongeza kwamba, tupoufurahia uhuru huo, ni lazima kuweko na utaratibu utakaotuwezesha sisi, kama wanasiasa pamoja na vyombo vya habari, kusawazisha hali ... view
  • 8 Nov 2006 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, nasimama hapa kuunga mkono Mswada ulioko mbele yetu. Nashukuru kwa sababu hivi tunavyoongea, Wakenya wengi katika sehemu za mashinani huko mashambani wamekuwa wakiteseka sana, hasa makundi ya akina mama. Tunafahamu kuwa kuna makundi ya akina mama katika nchi hii ambayo yameundwa kwa ajili ya kupunguza umaskini, na wanakutana kila wiki kutoa hela kidogo za kuwasaidia. Inaonekana kwamba hili ni jambo ambalo halitaendelea sana kwa sababu, mwisho, tuemeona kwamba hela hizo huangukia kwenye mikono mibaya na kutumiwa vibaya, na baadaye, akina mama wale hushindwa kuendelea na mipango yao. Kwa hivyo, naunga mkono Mswada huu kwa sababu ... view
  • 1 Nov 2006 in National Assembly: Ahsante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ningependa kuchukua nafasi hii kumshukuru Bw Khamisi, ambaye ameileta Hoja hii Bungeni. Kusema kweli, haya ni mapenzi ya Mwenyezi Mungu. Dini zote zinasema kwamba, katika mambo ambayo ni ya urithi wa mwanadamu tangu alipoumbwa, ardhi ni kitu cha maana November 1, 2006 PARLIAMENTARY DEBATES 3313 sana. Mwanadamu mwenyewe ameumbwa kwa mavumbi. Kwa hivyo, ni jambo la kuhuzunisha kwamba licha ya kwamba Mwenyezi Mungu alimwambia mwanadamu aitunze ardhi, katika sheria za kibanadamu, wanadamu wengine wamelichukulia jambo hilo kwa hali isiyofaa, haswa tukizingatia historia ya Kenya, na haswa kuhusu Mkoa wa Pwani. Bw. Naibu Spika ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus