Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1791 to 1800 of 6790.

  • 23 Jul 2024 in Senate: Sen. Osotsi, since you have not tabled any amendments, your statement might not be accurate unless you propose the amendments if you intend to admit them. Sen. Mariam Omar, proceed. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and Audio Services,Senate. view
  • 23 Jul 2024 in Senate: Thank you. Next is Sen. (Prof.) Kamar. view
  • 23 Jul 2024 in Senate: Thank you, Professor. Next is the Senator for Murang’a, Sen. Joe Nyutu. view
  • 23 Jul 2024 in Senate: Thank you. Sen. (Dr.) Khalwale, there are many recommendations on this Bill. Possibly, you will encourage our colleagues to come up with amendments and discuss them, so that you do not write a new Bill. Next is Sen. Wambua, the Senate Deputy Minority Leader. view
  • 10 Jul 2024 in Senate: Nakushukuru sana Bw. Spika kwa fursa hii ya kuchangia kauli hii iliyoletwa na Seneta wa Mombasa ndugu yangu Mohamed Faki. Ameleta Hoja hii kulingana na utaratibu wa Kanuni za Kudumu 53(1) za Bunge za Seneti hii. Inasema ya kwamba, Seneta anaweza omba kauli kutoka kwa kamati kuhusu jambo lolote linaloathiri kaunti nzima, kaunti zaidi ya moja, taifa, kanda au mataifa. Na kwa umaarufu wako Bw. Spika, Kanuni ya Kudumu ya 53(3), imetupa kibali ndio tuchangie Hoja hii iliyotoka kwa Sen. Faki. Kanuni hii inasema, iwapo kauli imeombwa kutoka kwa kamati kwa mujibu wa aya ya kwanza, Spika anaweza kuruhusu maombi ... view
  • 10 Jul 2024 in Senate: zaidi ya dakika 15. Nakushuru ili tuweze kuongoea na kufuatilia utaratibu huu wa Kiswahili. Nikiwa katika Bunge la Taifa, siku ya Alhamisi mchana kutoka saa nane, kwa muda wa miezi mitatu, kila Mbunge alikuwa anaongea kwa lugha ya Kiswahili. Pia nimesikia Seneta wa Kericho ambaye pia ni Kiongozi wa Walio Wengi akisema siku ya Ijumaa wakiwa Seneti walikuwa wanaongea lugha ya Kiswahili. Labda ameshindwa kujua Alhamisi kwa Kiswahili akasema Ijumaa. Nadhani alikuwa anasema Alhamisi mchana pia wao walikuwa wanachangia masuala yote ya Seneti kwa lugha ya Kiswahili. Hivyo basi, pia sisi tunaweza kubadilisha Kanuni zetu za Kudumu pia tuweke siku ... view
  • 10 Jul 2024 in Senate: Asante sana Mhe. Spika kwa nafasi hii uliyonipa ili nichangie Hoja iliyoletwa na Kiongozi wa Wengi wakishirikiana na Kiongozi wa Wachache. Kwanza natoa risala za rambirambi kwa wakenya walioathiriwa na vifo 39. Kuna wakenya wengine bado wako hospitali mbalimbali. Nachukua nafasi hii kuwatakia mema na afueni ya haraka. Suala hili limekuja wakati mzuri sana kwa sababu Seneti ni Bunge linalofikiria. Mambo yanapokuwa magumu kwa mataifa, seneti zote duniani ndizo zinakutana ili kurekebisha yale mambo ambayo hayaendi vizuri. Watoto wetu wameongea na sisi tumesikia. Haya mambo hayajaanza jana. Hii Finance Bill tu ni ya kutushtua vile mambo yanavyochemka. Mambo mengi yamekuwa ... view
  • 10 Jul 2024 in Senate: katika uongozi wa Seneti, kwa hiyo niko na nafasi kuu ya kuweza kusaidia Kenya. Nilimwambia alipokuwa kwa likizo ya wiki moja kwamba nimeelewa alichokuwa ananiambia. Bw. Spika, huu ni wakati ambao tunapaswa kukaa chini kama wakenya na tuzungumze vile mambo itaenda. Kuna idara nyingi za serikali ambazo zimetuangusha sana, sana sana shirika la kupigana na ufisadi, EACC. Huwezi kuniambia kesi zote zilizoripotiwa kwa EACC, hakuna hata moja waliyopata ikiwa na wizi ama maofisaa waliofanya makosa. Kama hilo shirika haliwezi kushika hata mtu mmoja miaka hiyo yote wamekuwa, naona badala ya kutumia pesa nyingi katika idara hiyo, afadhali tuongeze bibilia nyingi ... view
  • 10 Jul 2024 in Senate: anazembea, unamueka kando na kuweka mwengine ili wakenya wapate riziki yao. Wakenya walio tayari kufanya kazi nzuri ni wengi. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 10 Jul 2024 in Senate: Idara ingine ninayotaka kumulika ni idara ya usalama. Wakenya wengi wameumia. Siongelei kuhusu zile riots, lakini wakulima wengi wa mifugo wameumia. Tunavyoongea hapa saa hii, kuna bunduki zinalia huko Igembe North kati ya wakaaji wa Samburu wakija kuchukua mifugo ya wameru. Ukijaribu kuongea na mtu yeyote, hakuna mtu anakusikiliza. Security team ya pale Meru hawana uwezo na wale wako Nairobi ni kama hawana uwezo pia. Wakenya wameumia sana haswa katika mpaka wa Meru na Isiolo na Samburu. Tumeumia sana na sijui kama tutaanza kujikinga sisi wenyewe kama Serikali imeshindwa kulinda wakulima na mifugo yetu. Nitaomba Seneti inisaidie katika Jambo hilo. ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus