Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 4201 to 4210 of 6790.

  • 9 Aug 2023 in Senate: Sen. Wakili Sigei, are you asking a supplementary question? view
  • 9 Aug 2023 in Senate: Naomba Sen. Faki asikizwe bila hitilafu yoyote. Utalii ni kati ya sekta za uchumi ambazo zinachangia pakubwa pesa za kigeni kuingia nchini. Jambo la kusikitisha ni kwamba utalii umewachwa nyuma katika sekta zile ambazo zitachangia kufufua uchumi wa Kenya. Wengi wa wageni wanaoingia nchini, wanakuja kupitia Jomo Kenyatta International Airport, Nairobi . Tulileta Kauli kuhusiana na kufunguliwa kwa anga huru. Ni jambo kubwa kwa sababu, watalii wengi wanaenda Zanzibar ambayo inapakana na Kenya. Kuna ndege karibu 17 zinazotua kule kila siku. Ndege hizi zinapeleka biashara na watalii. Tukiweza kufungua anga huru kwa kaunti ya Mombasa, Kaunti ya Kilifi tufunguliwe Malindi ... view
  • 9 Aug 2023 in Senate: No. proceed and ask the Question from Sen. Korir. view
  • 9 Aug 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 9 Aug 2023 in Senate: nchini tuna fuo za Bahari. Wanyama pori, hutoka Mombasa mpaka Taita Taveta kwa ndugu yangu Sen. Mwaruma. Ni safari ya saa moja pekee yake. Tukienda Kwale kwa Sen. Boy na Sen. Chimera, kuna fuo nzuri za bahari na wanyama pori katika Mbuga za Mwaluganje na kwingineko. Wale ambao wana shida za kushika nyumba kama Sen. Cherarkey watapata pweza na ngisi katika eneo la Kwale ili kuamsha mishipa ili aweze kujipa dawa vizuri. Swala la utalii ni muhimu sana kwenye Kaunti zetu. Hii ndiyo njia kubwa ya kuweza kuinua uchumi wa Mombasa na pwani nzima. Kutoka Lamu mpaka Shimoni kuna fuo ... view
  • 9 Aug 2023 in Senate: Naona kuna Maseneta kadhaa ambao wangependa kuchangia swala linalozungumziwa. Ningependa kuruhusu Seneta mmoja kutoka upande wa walio wachache na mwingine kutoka upande wa waliowengi ili tutamatishe swala hili. Sen. Kisang’, proceed. view
  • 9 Aug 2023 in Senate: Proceed and ask the Question then I will give you that opportunity to ask your supplementary question. view
  • 9 Aug 2023 in Senate: Let us give another Member the opportunity to contribute to this issue. view
  • 9 Aug 2023 in Senate: Before the Cabinet Secretary responds, I want to confirm whether the response has been circulated to all the Members because the Cabinet Secretary has a comprehensive response to all the questions. If these responses are with the Members, I want us to still save more time by the Cabinet Secretary not reading everything verbatim, which is in this almost 20-page report response. view
  • 9 Aug 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus