Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 4231 to 4240 of 6736.

  • 9 Aug 2023 in Senate: Senate Majority Whip, Sen. (Dr.) Khalwale, proceed. view
  • 9 Aug 2023 in Senate: Thank you. Minority Leader, proceed. view
  • 9 Aug 2023 in Senate: Seneta wa Kaunti ya Kilifi, huwezi kujigamba kwamba wewe ni kiongozi kila wakati. Ungesema tu kwa heshima uongezwe muda. Wengine wakuite kiongozi lakini sio wewe mwenyewe ujiite kiongozi. Nitakuongeza sekunde 30 lakini ujue kufupisha maneno kwa sababu ya muda. view
  • 9 Aug 2023 in Senate: Malizia. view
  • 9 Aug 2023 in Senate: Wanakuchanganya, malizia hoja yako. view
  • 9 Aug 2023 in Senate: Proceed, Sen. (Prof.) Kamar. view
  • 2 Aug 2023 in Senate: On a point of order Mr. Speaker, Sir. view
  • 2 Aug 2023 in Senate: Bw. Spika, huyu Kiongozi wa Walio Wachache ametaja jambo la huko Meru akisema kuwa hospitali ya wale watu walio na akili punguani ipelekwe huko. Najua anajua Meru vizuri. Visa vya watu walio na akili punguani ni vidogo sana huko Meru. Kwa hivyo, sioni kama ni vizuri vile umepeana mfano wa Meru. Mimi nikiangalia pale Kilifi, ukitembea hata Mtwapa peke yake unaweza hesabu wengi sana ambao wanahitaji huduma kama hiyo. view
  • 2 Aug 2023 in Senate: Kwa hivyo, ungepeana mfano wa kwako ili hiyo hospitali ipelekwe Kilifi lakini sio Meru. Asante Bw. Spika. view
  • 2 Aug 2023 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I appreciate the two Cabinet Secretaries who have shown up this morning to answer questions from the Senators. I have observed that they were former Members of Parliament, so they understand exactly why Senators ask these questions. Cabinet Secretary for Water and Irrigation, thank you for your performance so far in the Ministry. Your performance in the National Assembly when we served for two terms together was also exemplary. When I am here, I am representing Meru County and I want to be selfish and ask issues concerning Meru. Madam Cabinet Secretary, sometimes, you may ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus