25 Apr 2023 in Senate:
Kuzuru au Kutua Mombasa? Ni kutua, kuchukua na kuleta abiria. Ndege haiwezi kuzuru Mombasa.
view
25 Apr 2023 in Senate:
Sen. Wambua, uko na hoja ya nidhamu?
view
25 Apr 2023 in Senate:
Sen. Kinyua, weka hoja zako bayana ili tuelewe kile unamaanisha.
view
25 Apr 2023 in Senate:
Sen. Kinyua, muda wako umeisha. Sen. Chute, uko na hoja ya nidhamu kuhusu haya maneno ya “kuzuru, kutua na kutembea”.
view
25 Apr 2023 in Senate:
Kiongozi wa walio wachache, una hoja ya nidhamu?
view
25 Apr 2023 in Senate:
Mweleze vile zinaitwa kwa sababu labda unaelewa inaitwaje.
view
25 Apr 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view