Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 5651 to 5660 of 6636.

  • 30 Dec 2022 in Senate: Bw. Spika, hii Kamati ya Ugatuzi inayoongozwa na mwenye kiti Sen. Abass, ningeomba ipige kambi Meru ili iweze kusaidia ugatuzi wa Meru. Waweze kujadiliana pia wawapee ushauri. Mheshimiwa Sen. Abass Mwenyekiti wa hii Kamati ni kiongozi ambaye tumefanya naye kazi katika Bunge la Kitaifa. Ninajua ushauri wake na Kamati yake utasaidia sana Gavana wetu na usaidie County Assembly ndipo tuweze kuendelea. Siku ya leo sio siku ya ushindi wa mtu mmoja, tuseme tukitoka hapa eti tumeshinda na hao wengine wameshindwa. Ningependa tutoke hapa kama Meru imeshinda kwa ujumla. view

  • 30 Dec 2022 in Senate: Kwa sababu kesho na kesho kutwa tutakuwa tunaangaliwa Meru, baada ya kutoka Nairobi kwa wiki mbili, tunaeendelea namna gani pale Meru. Gavana, ninakuomba na watu wako tusijivune vile tumeshinda katika hili swala lililokuwa hapa. Tukitoka hapa, uwashauri watu wako wasiandike kwa mitandao vile kikundi chako kimeshinda wale wenzetu wa County Assembly . Wewe mwenyewe thibiti watu wako wale wanaotangaza maneno. Ninaongea kwa Kiswahili ili yule mama aliye kwa kijiji leo asikie. view

  • 30 Dec 2022 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

  • 30 Dec 2022 in Senate: Ninaomba uwaambie watulize boli tuungane. Mimi niko tayari na mlango wangu umefunguliwa ili tuweze kuungana na kuunganisha watu wetu. Unajua mimi kabisa nimejaribu katika hii process ndipo tukae pamoja; tukae na MCAs ili tuweze kwenda kwa safari moja. Wale wambao wanafikiria Kathuri ana mambo mengine, ninataka kuwaomba ya kwamba mambo ya uongozi kile kitu mtu atakuwa kesho na kesho kutwa, ni Mungu anajua. Mimi ninaserve serikali; ninaserve inchi yetu ya Kenya nikiwa Senator na kwa hivyo tufanye kazi pamoja. Wiki jana tumeuungana hapa na Maseneta tukapitisha sheria ile inaitwa view

  • 30 Dec 2022 in Senate: , now it is an Act of Parliament na Meru tumeongezea bilioni moja na laki mbili; tumeileta Meru last month. Kwa hivyo tutakuunga mkono vile tutaweza ili tuweze kueendeleza Meru na taifa letu pamoja. Bw. Spika pia ninakushukuru. Ninashukuru ile Kamati iliyohusika na huu msakato kwa wiki mbili; siku kumi na ninasema kwamba tutaenda sana kwa sababu hizo siku mimi nimebeba mzigo wote wa Kaunti ya Meru. Nitaomba kama kuna maswala katika kaunti yoyote, Maseneta wenzangu muwe mkiyasuluhisha hayo maneno kabla yafike hapa. Mambo yakifika hapa yanakuwa mazito zaidi. Ninashukuru Bw. Spika; ninakuombea Mungu asaidie Kaunti yetu na tuweze kuendelea ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus