Mutula Kilonzo Jnr

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 221 to 230 of 3800.

  • 6 Oct 2021 in Senate: Should we not ring-fence the salaries of essential service? How can we call it essential service under the Constitutions and a doctor can remain without pay for four months while we are paying everybody else? It is unfortunate. view
  • 6 Oct 2021 in Senate: That is why Sen. Wetangula says you say what you mean. Do no leave anything to ambiguity to be filled in by the county executive or a CS sitting in Afya House or somebody else. It must be clear. Doctors of this country are calling all of us to be extremely clear about their needs, requirements and the outputs they need to get. view
  • 6 Oct 2021 in Senate: We sit here and get sitting allowance. Doctors, nurses and clinical officers stand and do not have any allowance for working 16-17 hours. I think we can do much better. Now that we know, particularly after the pandemic, we ought to treat our doctors much better. We need to give them what they need to help the community and all of us because in one way or the other whether we got COVID-19, we are affected. If you are not affected, you are paying a bill for somebody who is in hospital. If you are not paying a bill for ... view
  • 29 Sep 2021 in Senate: Asante Bi. Naibu Spika. Karibu Sen. Ngugi katika Bunge la Seneti. Ninauhakika kwamba umeangalia na kuona kuwa kweli Bunge la Seneti sio la wazee. Yule ambaye atakwambia sisi ni wazee, mwambie mzee ni yeye. view
  • 29 Sep 2021 in Senate: La pili na la muhimu ni kuhusu Seneta Mteule aliyetuwacha, Sen. Prengei, ambaye alikuwa anawakilisha vijana na walio wachache, kwa Kizungu, minority. Alikua ameanzisha mjadala wa kuhakikisha kwamba Kipengele 100 cha Katiba kimetekelezwa. view
  • 29 Sep 2021 in Senate: Kwa hivyo, kuanzia leo, utasahau kabila lako, iwe ni Ndorobo, Ogiek ama zile kabila ndogo ambazo hazikubaliwi, hata wale Washona, utakuwa akiwazungumzia hapa kwa sababu ni kitengo ambacho utakua ukizungunzia, pamoja na vijana wengi walio hapa, kama Sen. Cherargei, Sen. Abdul M. Haji, na wengine wengi ambao utakutana nao katika hafla hii. view
  • 29 Sep 2021 in Senate: Siku ambazo zimebakia ni chache. Tafuta sauti yako. Kesho tunataka kusikia ukizungumzia vijana na ukisema jambo ambalo litawasaidia. Hii ni kwa sababu katika siasa zinazoendelea sasa, wale watu ambao wanaumia ni vijana. Tumefurahi kwamba umekula kiapo leo, na umekuja na familia na watu ambao wameshuhudia ukila kiapo kwamba utafanya kazi yako na kuitetea kulingana na Katiba. view
  • 29 Sep 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 29 Sep 2021 in Senate: Sisi tutakua tukikuangalia. Ukikosa au kuharibu tutakukosoa. Tutakukumbusha kwamba umekula kiapo mbele ya Mungu. view
  • 29 Sep 2021 in Senate: Asante, Bi. Naibu Spika. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus