9 Oct 2007 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. We cannot belittle this Question by the hon. Member of Amagoro, while the Government is brewing trouble in the country. Right now, they are creating districts like Taita and Taveta districts without defined boundaries. Is it in order for him to belittle this Question?
view
25 Sep 2007 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, wafanyikazi wa nchi hii wameteseka kwa muda mrefu sana chini ya ubepari ulioko katika nchi. Natarajia kwamba baada ya kupitisha sheria hii kutakuwepo na utekelezaji. Natarajia sheria hii itekelezwe kwa manufaa ya wafanyikazi. Sharti Wizara ya Leba na Ustawi wa Wafanyikazi iamuke ili iweze kutumikia wafanyakazi wala siyo mabepari katika nchi hii.
view
19 Sep 2007 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, asante sana. Nafikiri kuwepo kwa mamlaka ya kupambana na majangwa ambayo yanatokana na hali ya kimaumbile ni muhimu sana. Katika dunia ya leo hamuwezi kukaa tu halafu mfikirie eti, mtatatua mambo yote na hulka kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu ametupa akili na tunaishi duniani. Binadamu ana uwezo wa kujipanga hata ingawa majangwa ya kiasili ni magumu sana. Kwa mfano, hivi sasa, kuna jiwe kubwa sana ambalo limeanguka katika mji wa Peru na kuleta mambo mengine mapya kabisa. Mambo ya hulka ambazo zinatoka mbinguni zinaanguka hapa duniani. Lakini binadamu lazima awe na uwezo wa kujipanga kwa majangwa. ...
view
6 Sep 2007 in National Assembly:
Bw. Spika, kuna madai kwamba katika Mkoa wa Kati na mitaa ya mabanda hapa Nairobi, vijana wengi wanaishi kwa hofu sana. Wanahofia kukamatwa na kufungwa na hata kuuawa na polisi wakati wowote ule. Hata kuna madai kwamba vijana wengi wanatoroka kutoka sehemu za Mkoa wa Kati na kwenda pahali pengine. Je, Waziri Msaidizi anaweza kuhakikishia Bunge hili kwamba hakuna ugandamizaji wa vijana na wananchi kwa jumla katika Mkoa wa Kati na mitaa ya mabanda huku Nairobi kwa kuwasingizia kuwa na uhusiano na kundi haramu la Mungiki ?
view
5 Sep 2007 in National Assembly:
Ahsante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ili nichangie Hoja hii, ambayo ni muhimu sana. Namaanisha Hoja ya Wizara ya Uchukuzi. Kwa kweli, kulingana na umuhimu wa hii Hoja, watu wengi sana wangehusika. Mawaziri wa Serikali hii wangekuwa hapa kwa wingi ili kusikiliza Hoja hii kwa sababu inahusu sehemu zote. Nafikiri, labda, watu wamechoka. Serikali hii imechoka! Basi, livunje Bunge hili mara moja ili watu waende nyumbani kwa uchaguzi mwingine mpya! Hatuwezi kuwa na Hoja muhimu kama hii na Serikali haionekani! Watu hao ndio wenye jukumu la kutupatia mwelekeo! Bunge hili lingevunjwa leo ama kesho, ili ...

29 Aug 2007 in National Assembly:
Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika.
view
29 Aug 2007 in National Assembly:
Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika.
view
29 Aug 2007 in National Assembly:
Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika.
view
29 Aug 2007 in National Assembly:
Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika.
view