All parliamentary appearances

Entries 21 to 30 of 262.

  • 1 Feb 2017 in National Assembly: Si vyema kweli kuambatanisha huduma ambazo watu wanastahili kupewa na masuala ya kama wako na kadi ya kura ama la. Kifungu Nambari 38 katika Katiba yetu kinazungumza kuhusu watu kusajiliwa kama wapiga kura na hatimaye kupiga kura zao. Ukiangalia Katiba yote kwa ujumla, iko na haki nyingi sana za kikatiba. Kwa hivyo, kwa mtazamo wangu, ninaona ya kuwa tukizungumza kwamba mtu hajapiga kura, ikifika masuala ya kuchukuliwa wanajeshi ama watu wanaandikwa kwa ajira fulani eti watu hawa wasiweze kupata fursa hiyo, sio sawa. Nasema The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of ... view
  • 1 Feb 2017 in National Assembly: haya kwa sababu wakati uchaguzi unapofanyika na wakati kura zinapopigwa, hali inarudi sawa na Serikali inahitaji kutoa huduma kwa mtu bila kubagua kama alipiga kura ama hakupiga au alikupigia kura ama hakukupigia kura. Ni jukumu lako kama kiongozi kumhudumia kwa njia mwafaka ndio maana yeye ni mwananchi wa Kenya na anaongozwa na Katiba ya Jamhuri ya Kenya. view
  • 1 Feb 2017 in National Assembly: Baadhi ya mikakati imewekwa kuhakikisha kwamba kura zinachukuliwa. Tumekuwa tukisisitiza kwamba ni lazima kura ziandikishwe kila mahali. Tumeona vijana wetu wa boda boda wametia juhudi na nimeona pia baadhi ya watu wanaosajili kura wamejitoa kutoka yale mashule waliokuwa wamekita kambi kuhakikisha ya kwamba wanasajili. Safari hii tunawapata wakiwa katika mahali pa kufanya biashara. Bila wasiwasi, Jumapili iliopita mimi pamoja na Mhe. Njomo tulipata fursa ya kwenda katika mazishi ya mamake Mhe. Harry Kombe. Mhe. Njomo atakubaliana nami kuwa katika mazishi haya kulikuwa na sehemu ya kusajili watu kura na watu, baada ya kuangalia mwili, walikuwa wanaenda kukamata kura jinsi wanavyotaka ... view
  • 1 Feb 2017 in National Assembly: Mtu yeyote ambaye atazungumza kuhusu kutolazimisha watu kuchukua kura itakuwa makosa. Sisi kama wakaazi wa Pwani, mara nyingi masuala kama haya hayajaenda sawa kwa sababu watu wamesema eti kura zetu ni chache. Ninataka niwahakikishie kuwa safari hii mambo yamegeuka. Watu wataendelea kujiandikisha kura kwa sababu pia nasi tunataka kuongeza uzito wetu katika masuala ya kisiasa ya kitaifa. Kwa hivyo, Hoja hii ni muhimu. Kamati ambayo inahusika katika masuala ya kisheria iko na wajibu wa kukaa chini na kuibua mbinu ambazo zitatusaidia kwa muda huu mfupi na nyingine kesho, kesho kutwa na kuendelea. Suala la kura sio suala tu la leo. ... view
  • 31 Jan 2017 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker for giving me this opportunity. Let me say, at the outset, that I support the Hydrologists Bill, 2016. The question surrounding water is critical to this nation. In our Constitution, water is more of a shared function between the national Government and the county governments. It is important that the national Government and the county governments make provisions for water services in their budgets. As it had been alluded to by Hon. Members in this Chamber, the prolonged drought and critical shortage of water has been occasioned by, among other factors, lack of proper and ... view
  • 31 Jan 2017 in National Assembly: themselves as hydrologists or assistants hydrologists they can be punished severely. That way, we can discourage people from carrying themselves as such. With those remarks, I beg to support this important Bill. view
  • 25 Jan 2017 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker for this opportunity. I rise to support the Sexual Offences (Amendment) Bill. I equally join my colleagues in congratulating Hon. Florence for bringing this very important Bill. view
  • 25 Jan 2017 in National Assembly: I come from Kilifi County where the preference in terms of sexual offences is quite high. If you walk into any police station today, you will find that there are very many cases relating to sexual offences. If you also walk into our courts, right from my constituency to Malindi Constituency, you will find that the entire court list is made up of sexual offences. If you walk to our prisons today, you will find very many boys, some convicted while others still in remand for these offences. view
  • 25 Jan 2017 in National Assembly: Before the passage of the parent law on sexual offences it used to be a free- for-all world. I remember before 2001, you would find very many offences being committed in the villages and in rural areas but nothing was being done. Today, at least with the passage of that law, we realize that there is sanity in the manner in which some of these things are being done. However, the challenges that exist, I believe will be taken care of by some provisions we now find in the new amendment law. view
  • 25 Jan 2017 in National Assembly: That is why as I was going through this amendment Bill, I was interested with Section 40C which seeks to talk about public awareness. I think we seriously need to look at ways in which we can prevent some of these things. This is because depending on where you are, there are times when the parents of the boy who is probably a suspect of having committed a sexual offence will come to you. At the same time, the parents of the girl who is the victim will equally come to you. If you listen to both sides, you will ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus