All parliamentary appearances

Entries 11 to 18 of 18.

  • 30 Apr 2014 in National Assembly: Thank you, hon. Speaker. This is my Statement request. Pursuant to Standing Order No.44(2)(c), I wish to request a Statement from the Chairperson of the Departmental Committee on Transport, Public Works and Housing, regarding air travel from Wajir Airport to Jomo Kenyatta International Airport in Nairobi. view
  • 30 Apr 2014 in National Assembly: Thank you, hon. Speaker. This is my Statement request. Pursuant to Standing Order No.44(2)(c), I wish to request a Statement from the Chairperson of the Departmental Committee on Transport, Public Works and Housing, regarding air travel from Wajir Airport to Jomo Kenyatta International Airport in Nairobi. view
  • 5 Dec 2013 in National Assembly: Nashukuru, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ahsante sana. Ukosefu wa amani katika Kaunti ya Marsabit haujaanza leo. Ulianza kitambo sana kabla ya sisi kuzaliwa. Lakini kila kitu kina kianzilishi. Vita vilivyoko wakati huu vilianzishwa na viongozi. Lazima ukweli usemwe. Viongozi ndio kila kitu. Ndio kiini cha ukosefu wa amani katika Kaunti ya Marsabit. Vita vilianza Moyale na kufika North Horr. Vikaja Saku na sasa viko Laisamis. view
  • 5 Dec 2013 in National Assembly: Mheshimiwa Naibu Spika wa muda, kwa miezi mitatu sasa, watu wa Moyale hawako Moyale tena. Wako upande wa Ethiopia. Watoroka wote kwa sababu ya ukosefu wa amani. view
  • 5 Dec 2013 in National Assembly: Mheshimiwa Naibu Spika wa muda, malori manne yamechomwa na yote yanabeba rasilmali zaidi ya milioni 30 kwa kila lori. view
  • 5 Dec 2013 in National Assembly: Mheshimiwa Naibu Spika wa muda, magari aina ya Land Cruiser yanachomwa. Mimi nalilia Serikali. Serikali iko wapi? Mbona Serikali isituangalia kama Wakenya? Kwani, sisi siyo Wakenya? Nyumba kadhaa zimechomwa. Akina mama na watoto The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 5 Dec 2013 in National Assembly: wamekuwa wakimbizi upande wa Ethiopia. Hili jambo litaendelea mpaka lini? Gari la mwisho kuchomwa lilichomwa wakiwemo askari kadhaa pahali pale. Wale askari wanafanya kazi gani? Serikali lazima itusikie ama itueleze kwamba Marsabit siyo Kenya. Tunataka kujua ukweli wa mambo. view
  • 5 Dec 2013 in National Assembly: Ikiwa kila kiongozi atazungumza na watu wake, itakuwa vizuri. Lakini unapata kwamba huyu anajaribu kuchochea na yule anatia chumvi upande ule mwingine. Wale viongozi wanalala vizuri kwao nyumbani. Watoto wao wanaenda shule vizuri. Lakini wananchi wale waliowachagua hawana amani. Watoto wao hawaendi shule. Kule shule kadhaa zimechomwa. Shule ni kabila gani? Watoto wote wanasoma katika shule hizo, wawe Waborana, Waburji, Gari, Gabra na Rendile. Kila mtu anasoma katika shule hizo. Shule kama hiyo inachomwa. Ni shule ambayo ina maendeleo zaidi na hufanya vizuri sana katika mitihani ya kitaifa. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus