Nicholas Scott Tindi Mwale

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 81 to 90 of 96.

  • 25 Apr 2018 in National Assembly: Kwa upande wa usalama, watalii wamekuwa wakisumbuliwa na magaidi. Mtalii mmoja alitekwa nyara na magaidi wakampeleka Somalia. Baadaye Serikali ilijaribu kumtafuta na baadaye Rais Kibaki aliyekuwa madarakani alituma wanajeshi Somalia kwa sababu ya huyo mgeni kutekwa nyara akiwa eneo la Pwani. Kwa hivyo Mswada huu utasaidia sana kuangalia vile eneo letu la Pwani na maziwa mengine yataangaliwa kiusalama. view
  • 25 Apr 2018 in National Assembly: Tumekuwa na shida ya kuchafuliwa kwa Bahari Hindi na Ziwa Victoria . Tukipitisha Mswada huu uwe sheria, tutapata njia ya kulinda maziwa yetu ili watu wasiyachafue na wadhuru mazingira. view
  • 25 Apr 2018 in National Assembly: Tuko na vijana nchini ambao hutumia madawa ya kulevya. Tukipitisha Mswada huu uwe sheria, utazingatia jinsi tutalinda eneo letu la Pwani ili madawa ya kulevya yasiletwe nchini Kenya. view
  • 25 Apr 2018 in National Assembly: Kwa hivyo, naunga wenzangu mkono ambao wamechangia na wakasema ya kwamba Mswada huu upitishwe uwe sheria. Naunga mkono na naeleza Wakenya wenzangu ya kwamba tukiwa na Mswada huu, tutakuwa na nafasi nyingi za kazi kwa Wakenya. Tukiwa na hiyo sheria na zinginezo, tutapata ujuzi kutoka nchi ambazo zimejaribu kulinda pwani yao kama vile nchi za Ujerumani, Uhisipania na Japani. Kwa hayo machache, naunga mkono Mswada huu na naomba Wabunge wenzangu wauunge mkono pia. Ahsante sana. view
  • 11 Apr 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. I rise to support the Motion. Looking at the World Bank report on unemployment in this country, you will find that almost 60 per cent of unemployed people are youths. The only way we can rise up and solve this problem is having a database that is accountable and managed properly. You will find that the same World Bank report states that out of 800,000 job seekers, only 50,000 manage to get the jobs. That is way below 20 per cent. Therefore, the issue of documentation has brought about vices such as corruption, tribalism and ... view
  • 11 Apr 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. It is in order for the Government to come up with a database that is managed in a proper way. view
  • 11 Apr 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. I want to ask my brother, Hon. Sankok, to also realise that the issue that I am talking about is very important. It is not only the issue of you walking with crutches. This is very important even for people with disabilities. Therefore, it was not good for him to interrupt knowing very well that his issue does not concern the Motion. Let me stop there, but I ask the Government to set up the database very quickly so that we can address the matter. view
  • 8 Nov 2017 in National Assembly: Ahsante Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi ili nichangie Hoja hii ya kupitisha majina ya wanakamati ambao watatusaidia kama Wabunge katika malipo baada ya kustaafu. Kwanza kabisa, ningependa kusema kuwa hili jambo limechelewa kidogo kwa sababu kuna wenzetu ambao walipoteza viti vyao na wanateseka kule nje. Kwa hivyo, sina pingamizi lolote. Naunga mkono ili majina haya yapitishwe. Siwajui waheshimiwa hao kwa kukutana nao, lakini naamini kwamba, wale wamechagua majina hayo wanawajua na wanajua kwamba watatekeleza majukumu yao kwa njia ambayo itafaidi waheshimiwa. Katika hili Bunge, wale ambao tumekuja kwa mara ya kwanza tumefika karibu asilimia 60. Tunaambiwa kwamba kurudi ... view
  • 27 Sep 2017 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. First of all, I will start by congratulating you for being nominated as a Member of the Chairperson’s Panel. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 27 Sep 2017 in National Assembly: Secondly, I want to take this opportunity to thank the people of Butere for giving me a chance to serve them in this respectable House. I want to commend my fellow Hon. Members who have talked today. I have seen some sense of sobriety, unlike yesterday or the other sittings where Members of Parliament pledge their allegiance to their principals and not to the people of Kenya. Chapter 1 of the Constitution talks about the sovereignty of the people. It is very clear that all sovereign power belongs to the people of Kenya. Therefore, I urge my fellow Hon. Members ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus