Njenga Karume

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 41.

  • 26 Jun 2007 in National Assembly: . Miaka mitano inakwisha Desemba na uchaguzi ni wa Desemba. Yule mtu anaota na mambo ya mwezi wa pili ajue haiwezekani. Sisi tulichaguliwa na wananchi na wakatupatia miaka mitano, na inakwisha Desemba. Hii mingine tunataka tunaongezewa na nani? Hatuwezi kufanya namna hiyo. Kwa maoni yangu, ningetaka uchaguzi uwe kama vile ambavyo umepangwa ili tumalizane nao. Hata hii minimum reforms --- Hii haraka ya miezi sita, kama tumeshindwa katika miaka kumi, miezi sita itatusaidia na nini, hata ikitengenezwa iwe namna hiyo? Italeta faida gani? Hakuna vijana wataandikwa kazi kwa sababu marekebisho yamefanywa. Mimi ninasema hata hiyo ikae. Tukienda uchaguzi, wale wachache ... view
  • 26 Jun 2007 in National Assembly: , na tuliandikwa kazi na wananchi, yanatoka kwa nani? Ni maoni yangu mwenyewe kuwa ni vizuri, kwa sababu hakuna kitu itatusaidia, tufikirie hii miezi sita imebaki tufanye development, tujenge nchi pamoja na wananchi, tufanye kazi pamoja ya kujenga nchi yetu tusifanye mambo mengine yasiyo na maana kwa sababu hayatatusaidia hata kidogo. Jambo lingine ambalo ningetaka kusema ni kwamba sisi tukiwa watu wa Kenya na Afrika, tunajua mila zetu. Kama viongozi wakikosana walikuwa hawachimbani. Walikuwa wakienda kwa wazee, wanazungumza na kumaliza mambo hayo. Lakini sasa nchi hii imekuwa kama haina heshima. Hata mtu mzee anatukana yule mwingine kijana; kijana anatukana mzee, ... view
  • 26 Jun 2007 in National Assembly: , we are leaders, na Kenya ni yetu. Kama uko katika Opposition au kama uko katika Serikali, hii Kenya ni yetu. Katika hii Kenya ni sisi sasa tunaoangaliwa na watu wengine tuiendeshe vile tutaiendesha; wakati Mungu atakapotuchukuwa kutoka nchi hii, wengine watakuja. Tungeweza kuiendesha nchi hii vile ilivyokuwa ikiendeshwa hapo mbeleni na wale walioifanyia kazi mbele yetu. Mimi nikiwa Waziri wa hii Ministry ya Defence--- view
  • 26 Jun 2007 in National Assembly: Basi, Bw. Naibu Spika, ninaunga mkono. view
  • 5 Apr 2007 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, as requested yesterday by Mr. W. Galgallo, the hon. Member for Moyale, I beg to issue a Ministerial Statement on the Marsabit air crash which occurred on 10th April, 2006. Although it was agreed yesterday that I should give this Statement on 10th April, 2007, I have decided to issue it today because of the importance I hold in this matter and also in the interest of the hon. Member for Moyale and the affected families. Mr. Deputy Speaker, Sir, on 10th April, 2006 about 10:05 hours, a Y12 aircraft owned by the Ministry of State ... view
  • 5 Apr 2007 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, the helicopters are in good shape. But I would like to state that the helicopters we have are very old. Some of them are even 30 years old. The Government is in the process of buying new ones and second-hand ones which are in good shape. But we are sure that the ones we have can be in use for sometime. view
  • 5 Apr 2007 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, we always make sure that the Presidential jet is view
  • 5 Apr 2007 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, it is our wish to buy new helicopters, but due to financial constraints, we have had to settle for some good second hand ones, and I assure you that they are in a good condition. We shall use them as we look for money to buy new ones. view
  • 5 Apr 2007 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, that is a good question. It is true that the airstrip is located near a hill. There is another one about 25 kilometres from Marsabit Town, and the Government is planning to shift to that one. view
  • 4 Apr 2007 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, it was a very sad affair because we lost our brothers who were very good people of this country. We are working on that. We want to know what happened. We will table the report as soon as possible. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus