12 Jun 2013 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa muda, vile vile nasimama kuunga mkono Hoja hii. Hoja hii inalingana na jukumu la Bunge kuwa itaweza kujadili na kutatua matatizo ambayo yanahusiana na wananchi kama inavyosema katika Katiba Kifungu cha 95(2). Pia, naunga mkono Hoja hii ambayo inaungwa mkono na Katiba katika Kifungu cha 19(2) na 20(2) ambayo imezungumzia kuhusu haki za raia ambazo zatakiwa watu wafaidike kwa kikamilifu. Tukiangalia katika Kifungu cha 43(1)(a) ambacho kinazungumzia haki za afya za wananchi, yatakiwa wananchi wapate huduma kwa hali ya juu kabisa. Tukimalizia, watu wazima ama wale ambao ni wazee, Katiba vile vile katika Kifungu cha 57(b) ...
view
12 Jun 2013 in National Assembly:
Tukiangalia hayo yote, tunaona Katiba ya nchi yetu inatilia mkazo mambo ya afya. Tukiangalia katika historia, nchi yetu ya Kenya iko nyuma katika mambo yote yalioahidiwa wananchi wakati wa Uhuru. Kwa ufupi, tungependelea hata ikiwa hili Bunge linaweza kukubali mambo ya laptop na maziwa ya bure yaondolewe ili tuweze kuhudumia wananchi wetu katika mambo muhimu ya elimu, afya na mishahara ya waalimu, ili tusiwe na mizozo siku za karibuni wananchi, waalimu na madaktari wakiomba mishahara na tushindwe kuwahudumia wananchi wetu. Kwa hivyo, kwa ufupi hata mimi ningeongezea kusema kwamba community health workers wafikiriwe kwa maana wanafanya kazi muhimu katika jamii ...
view
12 Jun 2013 in National Assembly:
Kwa hayo machache, naunga mkono.
view
12 Jun 2013 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa muda, vile vile nasimama kuunga mkono Hoja hii. Hoja hii inalingana na jukumu la Bunge kuwa itaweza kujadili na kutatua matatizo ambayo yanahusiana na wananchi kama inavyosema Katika katiba Kifungo cha 95(2). Pia, naunga mkono Hoja hii ambayo inaungwa mkono na Katiba katika Kifungo cha 19(2) na 20(2) ambayo imezungumzia kuhusu haki za raia ambazo zatakiwa watu wafaidike kwa kikamilifu. Tukiangalia katika Kifungo cha 43(1)(a) ambacho kinazungumzia haki za afya za wananchi, yatakiwa wananchi wapate huduma kwa hali ya juu kabisa. Tukimalizia, watu wazima ama wale ambao ni wazee, Katiba vile vile katika Kifungo cha 57(b) ...
view
12 Jun 2013 in National Assembly:
Tukiangalia hayo yote, tunaona Katiba ya nchi yetu inatilia mkazo mambo ya afya. Tukiangalia katika historia, nchi yetu ya Kenya iko nyuma katika mambo yote yalioahidiwa wananchi wakati wa Uhuru. Kwa ufupi, tungependelea hata ikiwa hili Bunge linaweza kukubali mambo ya laptop na maziwa ya bure yaondolewe ili tuweze kuhudumia wananchi wetu katika mambo muhimu ya elimu, afya na mishahara ya waalimu, ili tusiwe na mizozo siku za karibuni wananchi, waalimu na madaktari wakiomba mishahara na tushindwe kuwahudumia wananchi wetu. Kwa hivyo, kwa ufupi hata mimi ningeongezea kusema kwamba community health workers wafikiriwe kwa maana wanafanya kazi muhimu katika jamii ...
view
12 Jun 2013 in National Assembly:
Kwa hayo machache, naunga mkono.
view
11 Jun 2013 in National Assembly:
Thank you, hon. Speaker, Sir. Pursuant to Standing Order No.44(2)(c), I wish to request a Statement from the Chairperson of the Departmental Committee on Energy, Communication and Information regarding the closure or converting of the Kenya Petroleum Refineries Limited (KPRL) into a product terminal. The oil marketers have ganged up against KPRL with an aim of having the facility closed and they seem to have support of the Government in view of the fact that the Ministry of Energy has been communicating issues related to the KPRL through the Press instead of communicating to the relevant Government departments and shareholders. ...
view
11 Jun 2013 in National Assembly:
Hon. Speaker, Sir, KPRL is the only refining company in Eastern Africa, and is a very important facility in this region. This is more so now that oil has been discovered in Turkana and in the neighbouring country, Uganda. This will result in us exporting our crude oil to the Middle East and Far East countries for refining and then they re-export it to the same country; this will, definitely, be very expensive.
view
11 Jun 2013 in National Assembly:
We have seen a number of industries being shut down. This includes Pan Paper, Ramisi Sugar Factory and Kenya Cashewnuts Factory. The resultant effect has been that it has been more costly to re-open those factories than maintaining them before their closure.
view
11 Jun 2013 in National Assembly:
Hon. Speaker, Sir, according to Legal Notice No.25 of 2012, the KPRL is granted authority to import crude oil and oil marketers are bound by an agreement pursuant to Legal Notice No.24 to buy 40 per cent of the domestically refined products from the KPRL. However, the oil marketers have boycotted uplifting the quota, thus strangling the KPRL, and now it is unable to pay its workers salaries. The KPRL, in its existence of 50 years, has been paying its workers regularly, has been remitting dividends to the Government and we have never had any problem with it. Today, we ...
view